Diwani Tunduma auliwa mtoto pamoja bintI wa nyumbani.!

Status
Not open for further replies.

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
Katika hali isiyotarajiwa Diwani wa kata ya Mkingamo ccm jiranina mji mdogo wa tunduma leo ameuliwa mtoto mmoja na binti wa kazi katika mazingira ya kutatanisha.

mashuhuda wa tukio wanasema chanjo ni migogoro ya viwanja, Inasemekana mh. Alikua na tabia ya kuuza kiwanja kwa zaidi ya mtu mmoja hivyo kusababisha migogoro isiyo kwisha.

Cha ajabu inasemekana aliesababisha mauaji ni mwanamke...

taarifa zaidi zitakujieni...................!!!!!
 
wananchi wanazidi kuchoka eeh,

jaji Othman Chande teta na watendaji wa mahakama watende haki wanapokata mashauri ili kunusuru hali mbaya ya ukatili inayoongezeka kila siku.
 
Katika hali isiyotarajiwa Diwani wa kata ya Mkingamo ccm jiranina mji mdogo wa tunduma leo ameuliwa mtoto mmoja na binti wa kazi katika mazingira ya kutatanisha.

mashuhuda wa tukio wanasema chanjo ni migogoro ya viwanja, Inasemekana mh. Alikua na tabia ya kuuza kiwanja kwa zaidi ya mtu mmoja hivyo kusababisha migogoro isiyo kwisha.

Cha ajabu inasemekana aliesababisha mauaji ni mwanamke...

taarifa zaidi zitakujieni...................!!!!!

Daima jasho la mtu haliliwi, hata Mungu amekataa hilo
 
ukimalizana nae,yeye hataona uchungu,si atakua ame rip,sasa ametafutiwa hiyo ili aumie na ajifunze
 
Daima jasho la mtu haliliwi, hata Mungu amekataa hilo

Siungi mkono hiyo tabia ya diwani.
Ila napinga vikali hayo mauaji. Yaani wahusika wote inabidi wafikishwe ktk vyombo vya sheria.
Hizi hatua za kujichukulia sheria mkononi zimeshapoteza watu wengi wasio na hatia.
 
Samahani ndugu mleta uzi umetumia kiswahili tata. Hebu weka wazi diwani kauwawa pamoja na hao watoto au watoto wa diwani ndio wameuawa? Naomba kueleweshwa.
 
mifumo ya utoaji haki inapokuwa haiaminiki matokeo yanakuwa haya. Wapumzike kwa amani
 
sasa nawao wanaacha kumshughulikia mkosaji wanawashughulikia wasio na hatia!
 
Samahani ndugu mleta uzi umetumia kiswahili tata. Hebu weka wazi diwani kauwawa pamoja na hao watoto au watoto wa diwani ndio wameuawa? Naomba kueleweshwa.
mkuu waliochinjwa ni mtoto wa Diwani na binti wa kazi.!!
 
katika hali isiyotarajiwa diwani wa kata ya mkingamo ccm jiranina mji mdogo wa tunduma leo ameuliwa mtoto mmoja na binti wa kazi katika mazingira ya kutatanisha.

Mashuhuda wa tukio wanasema chanjo ni migogoro ya viwanja, inasemekana mh. Alikua na tabia ya kuuza kiwanja kwa zaidi ya mtu mmoja hivyo kusababisha migogoro isiyo kwisha.

Cha ajabu inasemekana aliesababisha mauaji ni mwanamke...

Taarifa zaidi zitakujieni...................!!!!!

tunaomba updat
 
Yaaa...... Imefikia hatua ccm wanajiona wana haki miliki ya nchi Hii......tutaendelea kuwashughulikia. Hii nchi ya ajabu sana , wasio na hatia wanabambikiwa kesi while kwenye hata na ambao ni ccm kesi Zhao zinaahirishwa Kila uchao huku watz wakiendelea kuumia. Nimecheka Kazi mpaka vichomi nilipoambiwa ushahidi kesi ya sheikh ilunga haujakamilika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom