Diwani mwingine wa CHADEMA aunga mkono juhudi za Serikali !

Ndugu Lothi ole Mungaya diwani kata ya ilkiding’a Halmashauri ya Arusha Dc Wilaya ya Arumeru ambae amejiunga ccm kwa kuunga mkono jitihada za Mhe, Rais, Dkt. John Pombe Magufuli
Sasa hivi ni Kuunga mkono Jitihada na sio JUHUDI?
 
Mkuu Jingalao, kwanza asante kwa taarifa hii.
Kwa hali ya siasa za nchi yetu kwa sasa, the political atmosphere, kwa mtu yoyote mwenye political ambition ya future in politics, CCM ndio mpango mzima.

Hili nililisema hapa

P
hyo haiwez kutosha kuwa sababu, kwann wasisubiri 2020 km ishu ni hyo hv mtu unakubali kuhama na kuachia nafasi yako ya udiwani uku ukijua unapoteza mafao yako ya udiwani.
 
Back
Top Bottom