Diwani mwingine ajiuzulu udiwani na kurudi CCM

Napokea taarifa nyingine kuwa, Diwani wa CHADEMA kata ya Monduli juu, Ndugu Bariki Sumuni amejiuzulu nafasi yake ya udiwani na nyadhifa zake zote ndani ya chama na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. Huyu anakuwa diwani wa 82 kujiuzulu kwa mujibu wa takwimu zangu zisizo rasmi. Huo ndiyo uchungu wa demokrasia ya kweli ikikugeuka kwa wale wasioifahamu.

Magoiga SN
31603769_1815522058497872_2472741998145739720_n.jpg
Bado kuna wajinga wanaendelea na ujinga huu?!
 
Back
Top Bottom