Diwani mwingine afariki Dodoma

Edson Zephania

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
517
112
Wakati tukiwa kwenye mtanange mkubwa wa uchaguz mdogo wa udiwani kata ya kikuyu kusini manispaa ya Dodoma kutokana na aliekua diwani kufariki mapema mwaka huu, diwani mwingine wa kata ya Chang'ombe kwa tiketi ya CCM amefariki siku 4 zilizopita. R. I. P diwani
 
Sorry.. Haipendezi watu kufa.. nimeumia.. alikuwa kiongozi hodari, mchapakazi, aliyemudu nyakati na wakati.. jina lake lisifutike kirahisi.. atungiwe nyimbo na watu wote tukae kimya.. shujaa anapoondoka hakuna achekae.. Mungu nakuomba Viongozi wasife.. kama kuna njia ya kuondoka kwenye madaraka basi wajinasue kama alivyofanya yule kaka baniani kule Igunga..

R.I.P..
 
Akifa asiyehitajika kwa jamii ya watanzania ni furaha kwa nini hawafi wale wanaotuibia?
 
R.I.P kama alitenda mema atakumbukwa, kama alikuwa.....ndiyo imetoka
 
mkuu nimecheka siyo siri japokuwa nimsiba! dah mibora afe(..............)
si vizuri kuwaombea binadamu wenzenu vifo kwani eti kwasbb ni wamagamba, kumbukeni wana wake/waume na watoto ambao ni malaika na si magamba wanabaki yatima. R.I.P
 
Sorry.. Haipendezi watu kufa.. nimeumia.. alikuwa kiongozi hodari, mchapakazi, aliyemudu nyakati na wakati.. jina lake lisifutike kirahisi.. atungiwe nyimbo na watu wote tukae kimya.. shujaa anapoondoka hakuna achekae.. Mungu nakuomba Viongozi wasife.. kama kuna njia ya kuondoka kwenye madaraka basi wajinasue kama alivyofanya yule kaka baniani kule Igunga..

R.I.P..

Acha kutumia masaburi, kwahiyo wewe unampangia Mungu kuvuna maua shambani mwake. Cheki hapo pekundu
 
Back
Top Bottom