October
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 2,145
- 92
Diwani wa kata ya Kasense (CCM) katika halmashauri ya Manispaa ya Sumbwanga mkoani Rukwa Bw.Pius Michael Sichombo (63)amefariki dunia ghafla baada ya kuugua kwa muda mfupi ikiwa ni siku tisa mara baada ya kuchaguliwa kuongoza kata hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa naKatibu Msaidizi wa CCM wilaya ya Sumbawanga mjini Bw. Joel Kafuge amesema kuwa Diwani huyo alifariki juzi katika hospitali ya mkoa wa Rukwa mjini Sumbawanga kutokana na kuugua kwa muda mfupi ugonjwa wa shinikizo la damu.
Read More Here