Diwani Mpya Kata Ya Saranga Aapishwa

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wakuu
Mhesh Diwani wa Saranga huko Arumeru aliyechaguliwa kwa kura nyingi katika uchaguzi mdogo wa madiwani uliofanyika tarehe 26/11/2017 ameapishwa rasmi. Diwani huyo alikabidhiwa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2015 - 2020. Aidha alitembelea maeneo mbalimbali ya kata hiyo ili kuwashukuru wapiga kura wake na amewaahidi kuwa na utumishi uliotukuka.
Taarifa za hivi punde zinasema Diwani huyo tayari ameanza kazi kwa kushughulikia changamoto mbalimbali za kata hiyo.
 
Back
Top Bottom