Diwani Mpya Kata Ya Saranga Aapishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani Mpya Kata Ya Saranga Aapishwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Boniphace Kichonge, Nov 29, 2017.

 1. Boniphace Kichonge

  Boniphace Kichonge Verified User

  #1
  Nov 29, 2017
  Joined: Jul 31, 2017
  Messages: 889
  Likes Received: 1,174
  Trophy Points: 180
  Wakuu
  Mhesh Diwani wa Saranga huko Arumeru aliyechaguliwa kwa kura nyingi katika uchaguzi mdogo wa madiwani uliofanyika tarehe 26/11/2017 ameapishwa rasmi. Diwani huyo alikabidhiwa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2015 - 2020. Aidha alitembelea maeneo mbalimbali ya kata hiyo ili kuwashukuru wapiga kura wake na amewaahidi kuwa na utumishi uliotukuka.
  Taarifa za hivi punde zinasema Diwani huyo tayari ameanza kazi kwa kushughulikia changamoto mbalimbali za kata hiyo.
   
 2. K

  K M S JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2017
  Joined: Dec 18, 2016
  Messages: 525
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 80
  Aibu tupu +kichefuchefu
   
 3. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2017
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,898
  Likes Received: 3,661
  Trophy Points: 280
  Saranga ni arumeru? Au zipo mbili? Au umelewa kitoko ya mlungula?
   
 4. cabo

  cabo JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2017
  Joined: Jun 15, 2016
  Messages: 373
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Hata mimi nimeshangaaaa kweli
   
 5. djzm70

  djzm70 JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2017
  Joined: Apr 16, 2014
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,726
  Trophy Points: 280
  Saranga huko Arumeru??... foolish combination
   
 6. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2017
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 8,047
  Likes Received: 6,300
  Trophy Points: 280
  Hii nchi ina vipaji vya hali ya juu sana!
   
 7. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2017
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,898
  Likes Received: 3,661
  Trophy Points: 280
  Huyu ametoka kwenye mkesha wa ccm amebugia mapombemavi(U.T.I) kapitiliza!
   
 8. babumapunda

  babumapunda JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2017
  Joined: Dec 21, 2012
  Messages: 4,089
  Likes Received: 2,070
  Trophy Points: 280
  utakuwa umekunywa kitoko bila shaka
   
 9. aggyjay

  aggyjay JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2017
  Joined: Feb 16, 2015
  Messages: 2,942
  Likes Received: 4,794
  Trophy Points: 280
  mi nlijua saranga ya huku kimara dar
   
 10. cabo

  cabo JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2017
  Joined: Jun 15, 2016
  Messages: 373
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Saranga nii hiyo tu sasa iyo ya Arumeru itakuwa yakuchora
   
 11. STRUGGLE BOY

  STRUGGLE BOY Member

  #11
  Nov 29, 2017
  Joined: Feb 16, 2017
  Messages: 74
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 25
  Saranga huko Arumeru duh! au ndo mnaanza kuumbuka.
   
 12. aggyjay

  aggyjay JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2017
  Joined: Feb 16, 2015
  Messages: 2,942
  Likes Received: 4,794
  Trophy Points: 280
  ukorofi huo sasa
   
 13. cabo

  cabo JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2017
  Joined: Jun 15, 2016
  Messages: 373
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
   
Loading...