Diwani Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema afukuzwa Uanachama

Nimemsikia, alichosema ni ukweli mtupu na ukweli mchungu ambao kila uchao ninaendelea kuuzungumza hadi October 2020

P
Tatizo kausema hadharanj pia, alipaswa kuusema kwenye vikao
 
Upinzani unatakiwa uwe wa kupigania maendeleo ya wananchi na haki zao sio huu upinzani wa kipuuzi wa kugombania madaraka tuu.

Sijaona kauli za kulaani na kudai serikali itokomeze uhalifu kama vile kuongezeka kwa uvunjaji na vibaka kwenye miji kama Arusha na Dar es salaam.
Wapinzani wanazungumzia masuala yao tu ya kisiasa na sio masuala yanayogusa watu wa chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka wayasemee wapi wakati mikutano ya hadhara ndo hivyo tena na ile ya ndani inahitaji hisani ya OCD?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diwani wa Kata ya Ngarenaro kwa tiketi ya CHADEMA, Isaya Doita aliyemtuhumu Godbless Lema kuwa hajui kazi na majukumu yake kama kiongozi wa juu wa CHADEMA na pia kama Mbunge amefukuzwa uanachama kwa kosa la kukiuka kanuni na misingi ya uanachama wa chama.

Kufukuzwa Uanachama kunamfanya kupoteza hata Udiwani wa Kata ya Ngarenaro kwa sababu Diwani lazima awe na udhamini kutoka chama cha siasa.

Ikumbukwe kuwa Juzi kupitia vyombo vya habari, Diwani Isaya alimtuhumu vikali Mbunge Godbless Lema kuwa hajitambui na hajui majukumu yake kama Mbunge, Mwenyekiti wa Kanda na Mjumbe wa Kamati Kuu ambapo imesababisha chama kudhoofika na kukimbiwa na baadhi ya Madiwani wa Jiji la Arusha.

Ukitaka kusoma na kuangalia video ya tuhuma unaweza kugonga Link hii:

Link > CHADEMA Arusha ‘’kwafuka moshi’’; Godbless Lema aambiwa hajitambui na hajui majukumu yake

Barua ya kumvua uanachama
EPUVdxeXUAA597w

Video ya tuhuma kwa Godbless Lema

Safi sana. Watakuwa wamemuiga Magu alivyomtimua Sophia Simba
 
Huyu jamaa ni mzuri kwa sehemu fulani, ila tatizo lake nimkurupukajihajsiyejua mipaka ya kaz/nafasi yake.

Anaingiliaga hata viongozi wa taasisi nyingine kama shule nk.
 
Back
Top Bottom