Diwani CHADEMA mh.Hassan kijuu amchambua Dr.Magufuli

Bogot'aa

Member
Oct 9, 2013
28
3
Diwani wa kata ya Mbugani Hassan Kijuu alipomchambua Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakati akihudhuria kuweka jiwe la msingi kwenye daraja la waenda kwa miguu, katika eneo la Mabatini jijini Mwanza.

Last edited by a moderator:
Very positive comments! Kutofautiana vyama na itikadi sio sababu ya kutokusema ukweli kama upo!
 
Huyo diwani ashughulikie migogoro ya ndani ya chama kwanza ndio apate mandate ya kuongelea habari za akina jembe magufuli
 
Nasubiria magamba uteuzi wa rais ili tuwazike rasmi make si tukisafisha cha miccm inajifanya haina mgogoro
Huyo diwani ashughulikie migogoro ya ndani ya chama kwanza ndio apate mandate ya kuongelea habari za akina jembe magufuli
 
Saccos imekufa mpeni taarifa huyo
Na hawa ndo aina ya wasomi tulionao uwezo wao wa kufikiri ni ngono na FB. Kama CDM ni saccoss mnachoumia ni nn CDM kutimua kenge woye ili tubaki Mamba. Mbona Hamadi rashid alipotimuliwa CUF na Kafulillah NCCR mbona hamkuumia hivi? Au CCm walipomfukuza yule mbunge wa Zanzibar. Vijana axheni kudalilisha elimu zenu manoneka mnakalili nbadala ya kuelewa!
 
Last edited by a moderator:
Very positive comments! Kutofautiana vyama na itikadi sio sababu ya kutokusema ukweli kama upo!

Ukweli gani .... vyeo vya juu vyote vipo kanisani , hao wapiga debe ndio mnajidai ati hakuna udini!
 
Ndugu Mandown, Ukisema hivyo utakuwa unakosea sana. Hivi umewahi kufanya analysis ndogo tu ya viongozi wa vyama kama CCM na CUF? Nakuhakikishia huko hali ya udini kwa maana ya walioshika vyeo vya juu kutoka dini moja ni mbaya zaidi kuliko CHADEMA. Kwa asilimia kubwa ni wa upande huo unaodhani kwamba hawajapewa vyeo CHADEMA. Fanya homework yako then sidhani kama utarudi na hoja dhaifu kama hii. Dini si hoja, cha msingi kwetu je, hao walio katika hizo nafasi wana-deliver ipasavyo? Kama ni wababaishaji, hawafai kuwa hapo walpo. Vinginevyo, NAPINGA SANA MASUALA YA UDINI KTK TANZANIA YETU!
 
Mkuu nakubaliana na wewe 100% angalia sasa hivi msafara wa Kinana, Nape, Migiro etc nahisi utaelewa nini namaanisha!
 
Diwani wa kata ya Mbugani Hassan Kijuu alipomchambua Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakati akihudhuria kuweka jiwe la msingi kwenye daraja la waenda kwa miguu, katika eneo la Mabatini jijini Mwanza.
sio kosa lake inawezekana kipindi anawaza hayo alikuwa anaona anacheleweshwa kwenda kuliwa tigo.
 
Last edited by a moderator:
Very positive comments! Kutofautiana vyama na itikadi sio sababu ya kutokusema ukweli kama upo!
mara nyingi viplate kama nyie lazima mmoja kati yenu akipost utumbo wote mnaona ni chamaana, baada ya kunusuru chama mnabaki na majungu kama mabinti. hii post ni yako ila umetumia username nyingine mbulula
 
Back
Top Bottom