Huyo diwani ashughulikie migogoro ya ndani ya chama kwanza ndio apate mandate ya kuongelea habari za akina jembe magufuli
Na hawa ndo aina ya wasomi tulionao uwezo wao wa kufikiri ni ngono na FB. Kama CDM ni saccoss mnachoumia ni nn CDM kutimua kenge woye ili tubaki Mamba. Mbona Hamadi rashid alipotimuliwa CUF na Kafulillah NCCR mbona hamkuumia hivi? Au CCm walipomfukuza yule mbunge wa Zanzibar. Vijana axheni kudalilisha elimu zenu manoneka mnakalili nbadala ya kuelewa!Saccos imekufa mpeni taarifa huyo
zuberi kabwe, said amour arf
Diwani wa kata ya Mbugani Hassan Kijuu alipomchambua Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakati akihudhuria kuweka jiwe la msingi kwenye daraja la waenda kwa miguu, katika eneo la Mabatini jijini Mwanza.
Sioni ubaya kama Mbowe mwenyewe aliwahi mpa big up!
Very positive comments! Kutofautiana vyama na itikadi sio sababu ya kutokusema ukweli kama upo!
Ukweli gani .... vyeo vya juu vyote vipo kanisani , hao wapiga debe ndio mnajidai ati hakuna udini!
Ndugu Mandown, Ukisema hivyo utakuwa unakosea sana. Hivi umewahi kufanya analysis ndogo tu ya viongozi wa vyama kama CCM na CUF? Nakuhakikishia huko hali ya udini kwa maana ya walioshika vyeo vya juu kutoka dini moja ni mbaya zaidi kuliko CHADEMA. Kwa asilimia kubwa ni wa upande huo unaodhani kwamba hawajapewa vyeo CHADEMA. Fanya homework yako then sidhani kama utarudi na hoja dhaifu kama hii. Dini si hoja, cha msingi kwetu je, hao walio katika hizo nafasi wana-deliver ipasavyo? Kama ni wababaishaji, hawafai kuwa hapo walpo. Vinginevyo, NAPINGA SANA MASUALA YA UDINI KTK TANZANIA YETU!
Buku7 fc
sio kosa lake inawezekana kipindi anawaza hayo alikuwa anaona anacheleweshwa kwenda kuliwa tigo.Diwani wa kata ya Mbugani Hassan Kijuu alipomchambua Waziri wa Ujenzi, Dkt. John Magufuli, wakati akihudhuria kuweka jiwe la msingi kwenye daraja la waenda kwa miguu, katika eneo la Mabatini jijini Mwanza.
mara nyingi viplate kama nyie lazima mmoja kati yenu akipost utumbo wote mnaona ni chamaana, baada ya kunusuru chama mnabaki na majungu kama mabinti. hii post ni yako ila umetumia username nyingine mbululaVery positive comments! Kutofautiana vyama na itikadi sio sababu ya kutokusema ukweli kama upo!