DIWANI CCM KATA YA HANANASIFU ABBAS TARIMBA AMESEMA NYUMBA IBADA ZOTE ZILIZO KWENYE MAKAZI YA WATU ZISITISHE MAOMBI HARAKA KABLA YA KUCHUKULIWA HATUA.SOURCE majira leo.Wasi wasi wangu ni kwamba huwezi kujenga Kanisa au Misiki mbali na Makazi ya Watu.Ibada ambayo inaweza kuwa mbali na Makazi ya Watu ni ibada za mizimu na Mashetani ambapo eneo maalumu linatengwa kama alivyofanya Babu wa Loliondo alitaka kujengewa eneo la Mtalija linaloheshimika kwa wafu waliokufa siku nyingi na wazee wa Mila walitenga kama sehemu ya Matambiko.Suala la kelele za Dansi ya Mch Rwakatare inawakera wakazi wa Mikocheni hivyo Mama Rwakatare akiondoa midundo ya dansi watu watapata nafuu