Diwani asiyejua kusoma agundulika Iringa baada ya kushindwa kujaza form Live manispaa

huyo kakosa sifa za kuendelea kuwa diwani haiwezekani hata kujua kusoma na kuandika hawezi wkt ni moja ya sifa za mgombea sheria itumike , lkn watz hawako serious wamemchagua akawawakilishe vp au ndiyo walimlipa fadhila ya tshirt kanga na pilau
Tunahitaji mabadiliko jamani
 
Pyupyu slip down now now and beat pushups, me now beat telefone ze you father tell him that u dont lisen me ze ticha say.
Hicho ndio kilikuwa kiingereza cha mwalimu wetu
 
I have no problem with that

... ili mradi asiwe fisadi, asiwe mwizi wa kura, awe mzalendo wa kweli..
.... asiwe juha kama polisi wa arusha waliodhalilisha hadhi ya ubunge wa taifa hili, asiwe kama RA ...
.... Asipaniki na kwenda kuiba vyeti kuonyesha kasoma... ajiunge na Darasa la jioni!!
 
Kiongozi bana must know atleast kusoma na kuandika, huoni tatizo na hili? mmmmmhhhh ila maajabu mengi hapa kwetu some even i feel shame to speak
 
Mkuu wanajua kusoma alafu majuha nk...kwani ndio nini sasa...!!

anagalia vizuri... sikuridhika naye ..ndio nikasema...afanye kama viongozi wengi wanvyofanya...asome jioni nk!!

... na afanye hivyo kwa ukweli sio wizi wa mitihani na kudurufu vyeti mtandaoni kma baadhi ya waheshimiwa..
 
Is too late, kama hata kusoma na kuandika hajui, must resign quickly, udiwani ni post kubwa, anawakilisha maisha ya watu wengi, so he doesn't fit for the job, pure & simple
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom