Diwani anayetuhumiwa kupewa rushwa awataka wabunge wa CHADEMA Arusha wanyamaze

Akikutana nao awapige vibao kabisa maana wanatumia pesa za matibabu zilizochangiwa na wanaompenda Mh. Lissu kutengeneza video za kudanganha watu huku wao hata hawajui kuwa teknolojia ipo juu na macho yanaona uongo waziiiii...

Upinzania unakufa kwa haraka.. wamebaki na wanaoisoma namba ndio wanawashangilia wanapata bichwa kumbe pwaaaaaaa hakuna kitu.. awamu ya tano ipo bombaaaaaaaaaa
UKUKU , ******** akiwatumbua tusione ukahaba wenu hapa wa kumpongeza
 
Baba anadharau huyu wabunge wake aliwakatia mtonyo wa million kumi kumi kuwaweka. sawa,huku madiwani wanapewa million mbili mbili kuacha kazi na chama kabisa
Kumbe si kweli kuwa maendeleo hayana chama
 
Akikutana nao awapige vibao kabisa maana wanatumia pesa za matibabu zilizochangiwa na wanaompenda Mh. Lissu kutengeneza video za kudanganha watu huku wao hata hawajui kuwa teknolojia ipo juu na macho yanaona uongo waziiiii...

Upinzania unakufa kwa haraka.. wamebaki na wanaoisoma namba ndio wanawashangilia wanapata bichwa kumbe pwaaaaaaa hakuna kitu.. awamu ya tano ipo bombaaaaaaaaaa
anayetarajia tofauti na hiki kutoka kwako akapimwe mkojo
 
ALIYEKUWA diwani wa kata ya Kimandolu kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jijini Arusha ambaye alijiuzulu na kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rayson Ngowi amewataka wabunge wa Chadema mkoani Arusha wanaomtuhumu kupokea rushwa wanyamaze kwa kuwa wanachokifanya ni siasa zisizoenda na wakati.

Ngowi na diwani wa kata ya Muriet Simfukwe walihama Chadema na kujiunga na CCM mbele ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dk John Magufuli alipofanya ziara mkoani Arusha wiki iliyopita. Kuhama kwa madiwani hao kuliibuwa maswali mengi na kufanya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema na Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari kuibuka na kusema kuwa madiwani hao walipewa rushwa na wanao ushahidi wa suala hilo. Ngowi alisema siasa za kuchonganisha wananchi na serikali yao zimepitwa na wakati na hizo ni siasa za mwaka 47 hazina nguvu kwa sasa kwani wakazi wa Arusha siyo mbumbumbu tena na wamechoka kutumika.
Mfa maji haishi kutapatapa. Na hivi ndivyo walivyo Chadema!
 
Akikutana nao awapige vibao kabisa maana wanatumia pesa za matibabu zilizochangiwa na wanaompenda Mh. Lissu kutengeneza video za kudanganha watu huku wao hata hawajui kuwa teknolojia ipo juu na macho yanaona uongo waziiiii...

Upinzania unakufa kwa haraka.. wamebaki na wanaoisoma namba ndio wanawashangilia wanapata bichwa kumbe pwaaaaaaa hakuna kitu.. awamu ya tano ipo bombaaaaaaaaaa
Kupiga makofi ataanzia wapi wakati aibu imemshuka! Huyo ni mchungaji nashangaa kwa maelekezo maalum Lumumba wanajaribu kutoandika neno 'mchungaji Rayson Ngowi' kwenye post zao wakiogopa kumchafua zaidi mbele ya jumuiya ya wakristo wote nchini baada ya mchungaji kula mlungula na kudanganya umma katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid mchana kweupee. Badala yake wanaanza na 'Rayson Ngowi'. Huyu ni mchungaji aliyekuwa anasimama kwenye mimbari takatifu lakini amenajis uchungaji wake kwa shekeli kadhaa. Kwa taarifa za ndani hapa Arusha ni kwamba waumini wameamua kukacha kanisa lake.
 
Ngowi na diwani wa kata ya Muriet Simfukwe walihama Chadema na kujiunga na CCM mbele ya Mwenyek
Makahaba yaliyokubuhu ukahaba yalikuja nyumba isiyo wastahili yaende! Ikiwezekana tuyabane kwa pilato hadi yanyee ndoo stupid
 
Back
Top Bottom