Diwani anapopora madaraka ya mbunge sheria za chadema zinasemaje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diwani anapopora madaraka ya mbunge sheria za chadema zinasemaje

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 8, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni ilikuwa mchana niiliposikia kwenye kikao cha bunge mbunge wa mbeya mr 2 aliposema atoruhusu clouds fm kupiga ujinga wao wa kila mkoa wanaoendeleza inaua vipaji leo nimesikia diwani wa mbeya hiyo hiyo akihamasisha watu kuhudhuria fiesta 011 mbeya na yeye ni mmoja wao
  sasa najiuliza diwani anapochukua madaraka ya mbunge sheria zenu zinasemaje
  anaitaji kuadhibiwa ama tumsamehe kwa dhiki zake najua hapo doller kumi wakima anaropoka tu kwenye redio
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  diwani hajaingilia madaraka ya mbunge...sugu ndio kachemka tena sana tu...
   
 3. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  "Sheria za CHADEMA" maana yake nini?
   
 4. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  sugu mwenyewe anaunga mkono, huyu jamaa hana msimamo kabisa!
   
Loading...