Kigoma 2015
JF-Expert Member
- Sep 19, 2011
- 371
- 93
Juzi tarehe 21/9 aliekua diwani wa kata ya Chang'ombe kupitia tiketi ya CCM amefariki dunia. Tukio hili limetokea wakati bado kuna hekaheka za uchaguzi mdogo katika kata ya Kikuyu kusini na tarehe ya uchaguzi ni tarehe 2/10, uchaguz huu unafanyika kutokana na aliekua diwani wa kata hyo (kikuyu kusini) kufariki dunia mwezi Aprili.
Mungu azilaze mahali pema peponi roho za marehemu. Amina
Mungu azilaze mahali pema peponi roho za marehemu. Amina