Diwani afariki hapa Dodoma

Kigoma 2015

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
371
93
Juzi tarehe 21/9 aliekua diwani wa kata ya Chang'ombe kupitia tiketi ya CCM amefariki dunia. Tukio hili limetokea wakati bado kuna hekaheka za uchaguzi mdogo katika kata ya Kikuyu kusini na tarehe ya uchaguzi ni tarehe 2/10, uchaguz huu unafanyika kutokana na aliekua diwani wa kata hyo (kikuyu kusini) kufariki dunia mwezi Aprili.

Mungu azilaze mahali pema peponi roho za marehemu. Amina
 
Aliekua diwani wa kata ya Chang'ombe kupitia CCM, amefariki dunia siku ya tarehe 21/9.
Taarifa hizo zimekuja huku kukiwa na mchuano mkubwa tena wa uchaguzi mdogo katka kata ya Kikuyu kusini ktk manispaa hiyo, uchaguzi uliopangwa kufanyika siku ya tr 2/10.
Bwana ametoa na Jina lake lihmidiwe.
Amen
 
Kufa bwana kumepangwa tu!!
Hata ukisikitika sana hairudishii mtu uhai,
Hivyo cha msingi tu hapa ni hayo majimbo kuyaleta CDM.
Anyway, R.I.P wote!!
 
Kata nyingine chadema wanaichukua tena.
R.I.P Diwani.
 
CHADEMA chukueni kata hiyo...

RIP Diwani umetangulia sisi tutakufuata
 
Japokuwa ni huzuni kwa kila mtu ila ni huzuni mara2 kwa magamba.......kila jambo linapangwa na Muumba,hii ni ishara ya ukombozi kupitia hizi kata na majimbo katika kuipeleka CDM Ikulu

Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.R.I.P ndugu zetu madiwani
 
R.I.P diwani,ila kiukweli mi nikisikia kiongozi yeyote wa CCM amefariki huwa nafarijika sana maana mbona wao wanatuua sana?,bwana wacha wafe tu kama mama zetu wanavyokufa kwa kukosa dawa nk.
 
R.I.P Diwani,nna uhakika hata huko Cdm itawatesa Magamba kama ambayo huku Kikuyu Kusini Diwani wa Cdm bwana Mdogo wa Udom anavyolitesa lizee la Magamba yani huyu jamaa ni mcheza bao(sometimes tunaita "Usolo")
 
R.I.P diwani,ila kiukweli mi nikisikia kiongozi yeyote wa CCM amefariki huwa nafarijika sana maana mbona wao wanatuua sana?,bwana wacha wafe tu kama mama zetu wanavyokufa kwa kukosa dawa nk.

try 2 act like ur a human being rather than a crap!
 
Mkuu Lawrence tupe nyuuuuuzi za udiwani wa hapo kikuyu kusini,vipi makamanda wa CDM wanatuwakirisha inavyotakika.
 
R.i.P Diwani..
umetangulia mbele za haki na sisi tupo kwenye foleni

CCM ukifika wakati wa uchaguzi haina haja ya kusimamisha mgombea maana hamtakiwi hapa Nchini
 
Diwani mwenyewe anaitwa kishoka alkuwa ni gamba, ambalo haliezeki jana ingawa nilikuwa maeneo ya hapa maili 2(dom) lkn nilbahatka kukutana na watu waliotoka kuzka wengi wao wakimuelezea kama kikwazo kwa maendeleo ya kata yao yao..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom