Division iii-15 naombeni msaada!!!

Raphael9

Senior Member
Apr 24, 2012
143
43
Nimemaliza 4m 6 2012, nanimepata III-15 Hivi naweza omba chuo nikapata nakiomba faculty zp? Niombe ?
 
omba pre entry utapata chuo tu ila mzazi ajiandae na kutoa hela yakukusomesha..
 
unaweza ushauri wangu angalia vitu viwili MKOPO NA CAS(CENTRAL ADMISSION SYSTEM ) kuna guide book jitahidi kuitafuta hii itakusaidia sana ..chuo kama UDOM kinaENROLL wwanafunzi wengi jaribu kutipia uone ni kozi gaNI unaweza soma
 
So kama ndo hvyo ngoja nikitafute hcho kitabu je unanirhauri nisiombe UDOM kutokana na ulivyosema kwamba kinawatu wengi
 
So kama ndo hvyo ngoja nikitafute hcho kitabu je unanirhauri nisiombe UDOM kutokana na ulivyosema kwamba kinawatu wengi
hapana sio kwamba na kushauri usiombe UDOM la kwa kuwa UDOM wana kozi nyingi na wana enroll namba kubwa jitahidi kuwa makini kwenye kuchagua kozi inayolingana na point zako kwa kwa wewe mwenye div 3 ya 15 una point 3 kwa utaratibu wa chuo kwa hiyo angalia minimum entry ya kozi unazotaka kuomba na cut-off na idadi ya wanafunzi halafu kama unaona mambo ya kujisomesha ni taabu tazama priority kozi ambazo wanapata loan vyuo ni vingi vipo karibia 60 so umakini na utulivu tu utatapa kozi tu
 
So kama ndo hvyo ngoja nikitafute hcho kitabu je unanirhauri nisiombe UDOM kutokana na ulivyosema kwamba kinawatu wengi

asa usipo omba udom,utaomba wapi tena,maana udom ndo kimbilio la wengi?
 
Asante sana@maganga and @ ngoja ni2lize akili naniweke umakini wangu so naomba unisaidie k2 tena vyuo ambavyo kwa point zangu naweza pata bila wasiwasi
 
Nimemaliza 4m 6 2012, nanimepata III-15 Hivi naweza omba chuo nikapata nakiomba faculty zp? Niombe ?
Wasiliana nasi Fulgent careers kwa ushauri wa uhakika na muongozo wa kozi unazoweza kuomba na vyuo vinavyotoa hizo kozi pamoja na hali ya soko la ajira kwa kozi utakayochagua.0769524022.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom