Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
It is interesting to hear that Lowassa was received with maandamano ya watu, zulia jekundu na hata viongozi wa Serikali na Chama walihusika kuandaa shughuli za kumpokea "mfalme" wakati Wananchi wengine tunamlaani kwa kufanya uzembe wa hali ya juu kushurtisha nchi iingie mkataba hewa. Hapo bado hatujazungumzia ufisadi wake. Mbaya zaidi akapewa mahojiano rasmi na TVT na kuhutubia kama aliyeonewa na kudhulumiwa haki yake kuwa Waziri Mkuu!
It is amazing to hear that Chenge was received in Mwanza and Shinyanga with CCM and Government top brass, akafanyiwa maandamano kutoka Mwanza mpaka kwao Bariadi Shinyanga yakiongozwa na Ng'ombe na Wakuu wa Wilaya wa Serikali na Chama na akapokewa kama Mtemi, shujaa aliyerudi kutoka vitani. Mbaya zaidi akatoa hotuba na kurudia ile lugha yake ya kejeli ya "vijisenti". Cha kusikitisha ni kwa Mkuu wa Wilaya pamoja na Wakuu wa CCM ambao walisema "tumempokea na kuandamana"kumpa pole. Lakini, mbona amepokelewa kama shujaa aliyeshinda vita?
Where is the disconnect? Hivi kelele, laana na mazomeo ni pale Dar na hapa JF pekee? Huko vijijini "watuhumiwa" wanapokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo kama wafalme na watemi?
Je wangefukuzwa kazi na si kuombwa wajiuzulu, wangepata mapokezi ya namna gani?
Je hii si dhihaka kubwa kwa Raisi wetu Mh. Jakaya Kikwete, ikiwa hawa jamaa ambao ni watuhumiwa wa mambo makubwa ya rushwa na uhujumu, unawapa fursa waachie ngazi halafu wanarudi majimboni kwao na kupokelewa kwa Utukufu na kujisifu?
Je ni kitu gani kinachoendelea nyumbani Tanzania kuwa kule vijijini, inaelekea hawajali kabisa haya mambo ya tuhuma (viongozi na wananchi), lakini wako tayari kucheza ngoma na kuchinja ng'ombe kwa ujio wa "mtuhumiwa" badala ya kumtupia mawe mwana wao aliyewaaibisha?
How do we reach these guys in vijijini ili waweze kujua wazi kuwa hawa wanaowaita "mashujaa" ni maharamia na wamehujumu na kudororesha maendeleo yao?
If this is the case, what is the chance and where is the hope kuwa Tanzania kutafanyika mageuzi ya kisiasa na upinzani kuchukua nchi? Kidege kimoja kilichoko jikoni kiliniimbia kuwa "kelele za ufisadi, ziko mijini tuu, hasa Dar, huko vijijini, hakuna mwenye kuwa na taarifa wala kujali, hivyo usishangae 2010 wapinzani kupigwa mweleka tena"!
Wako wapi wale wazalendo waliokuwa barabarani wakati Mkapa anapita wakazomea? wako wapi wale wazalendo wa Morogoro ambao waliandamana na kushangilia kuanguka uwaziri wa mbunge wao Ngasongwa na wakatiwa ndani eti hawana kibali?
Trully the country is divided, and majority are completely un-informed, disconnected or are not bothered with kelele za Uhujumu.
May be if these people of Bariadi and Monduli were in an area such as Buzwagi, wangejitoa mhanga na kuandamana kupinga kurejea kwa "mtemi" aliyewaletea aibu!
It is pathetic, hata kama wamenunuliwa wakanunulika waandamane kwa "vijisenti" vichache, ask yourselves, what would happen 2010!