Divided Perspective; Laana na Mashangilio

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
It is interesting to hear that Lowassa was received with maandamano ya watu, zulia jekundu na hata viongozi wa Serikali na Chama walihusika kuandaa shughuli za kumpokea "mfalme" wakati Wananchi wengine tunamlaani kwa kufanya uzembe wa hali ya juu kushurtisha nchi iingie mkataba hewa. Hapo bado hatujazungumzia ufisadi wake. Mbaya zaidi akapewa mahojiano rasmi na TVT na kuhutubia kama aliyeonewa na kudhulumiwa haki yake kuwa Waziri Mkuu!

It is amazing to hear that Chenge was received in Mwanza and Shinyanga with CCM and Government top brass, akafanyiwa maandamano kutoka Mwanza mpaka kwao Bariadi Shinyanga yakiongozwa na Ng'ombe na Wakuu wa Wilaya wa Serikali na Chama na akapokewa kama Mtemi, shujaa aliyerudi kutoka vitani. Mbaya zaidi akatoa hotuba na kurudia ile lugha yake ya kejeli ya "vijisenti". Cha kusikitisha ni kwa Mkuu wa Wilaya pamoja na Wakuu wa CCM ambao walisema "tumempokea na kuandamana"kumpa pole. Lakini, mbona amepokelewa kama shujaa aliyeshinda vita?

Where is the disconnect? Hivi kelele, laana na mazomeo ni pale Dar na hapa JF pekee? Huko vijijini "watuhumiwa" wanapokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo kama wafalme na watemi?

Je wangefukuzwa kazi na si kuombwa wajiuzulu, wangepata mapokezi ya namna gani?

Je hii si dhihaka kubwa kwa Raisi wetu Mh. Jakaya Kikwete, ikiwa hawa jamaa ambao ni watuhumiwa wa mambo makubwa ya rushwa na uhujumu, unawapa fursa waachie ngazi halafu wanarudi majimboni kwao na kupokelewa kwa Utukufu na kujisifu?

Je ni kitu gani kinachoendelea nyumbani Tanzania kuwa kule vijijini, inaelekea hawajali kabisa haya mambo ya tuhuma (viongozi na wananchi), lakini wako tayari kucheza ngoma na kuchinja ng'ombe kwa ujio wa "mtuhumiwa" badala ya kumtupia mawe mwana wao aliyewaaibisha?

How do we reach these guys in vijijini ili waweze kujua wazi kuwa hawa wanaowaita "mashujaa" ni maharamia na wamehujumu na kudororesha maendeleo yao?

If this is the case, what is the chance and where is the hope kuwa Tanzania kutafanyika mageuzi ya kisiasa na upinzani kuchukua nchi? Kidege kimoja kilichoko jikoni kiliniimbia kuwa "kelele za ufisadi, ziko mijini tuu, hasa Dar, huko vijijini, hakuna mwenye kuwa na taarifa wala kujali, hivyo usishangae 2010 wapinzani kupigwa mweleka tena"!

Wako wapi wale wazalendo waliokuwa barabarani wakati Mkapa anapita wakazomea? wako wapi wale wazalendo wa Morogoro ambao waliandamana na kushangilia kuanguka uwaziri wa mbunge wao Ngasongwa na wakatiwa ndani eti hawana kibali?

Trully the country is divided, and majority are completely un-informed, disconnected or are not bothered with kelele za Uhujumu.

May be if these people of Bariadi and Monduli were in an area such as Buzwagi, wangejitoa mhanga na kuandamana kupinga kurejea kwa "mtemi" aliyewaletea aibu!

It is pathetic, hata kama wamenunuliwa wakanunulika waandamane kwa "vijisenti" vichache, ask yourselves, what would happen 2010!
 
I repeat and I will repeat .... problem is with the President!

Is there to PLEASE BOTH SIDES!

And Is not there TO FIGHT WRONG SIDE and objectively Show the RIGHT SIDE! Our President on doing that? Will paralise to death.... ataishiwa na nguvu!

He has no that strength and character! Ushikaji mbele!

Lazima A ume na kupuliza .... na hili ni jambo la Hatari.

Lini na wapi Rais alishajitokeza hadharani kwa kauli HALISI ya kukumea UFISADI.

Lini na wapi na kwa TONE gani ya SAUTI Rais alisha msema na kumkemea vikali Fisadi yeyote?

HAKUNA!!!!

So?

Upupu wote unaanzia hapo!

Sasa Chenge ampinge President?

Sasa Lowasa ampinge pressedint?

Kama Mawaziri hawana jeuri hiyo itakuwa ni wakuu wa mikoa..wilaya..na Balozi wa nyumba kumi au kumi na tano?
 
I repeat and I will repeat: Waafrika Ndivyo Tulivyo!!!
 
Nimependa sana huu mchakato!
 
Anauma Mwenyekiti wa Chama, lakini anauma kwa kujificha. Wangefahamu mikoani kwamba ni yeye ameuma, hawangethubutu kuwapa heshima wahusika. Wanabaki wakidhani ni wapinzani ndio wamewapa presha watu wao.

Pengine kuna kuwashughulikia wahujumu kwa awamu. Awamu ya kwanza ni kuwatoa madarakani serikalini. Awamu ya pili itakuwa kuwashughulikia kichama. Chama kikishwajadili na kuwatema, basi hakuna hata mtu mmoja atakayewapokea kwa shangwe.

Ziko tuhuma hapa kwamba Chenge alipewa hongo ya dola milioni moja ili aidhinishe mkataba wa kununua rada. Bila shaka kwenye mkataba wa kununua ndege ya Rais nako alipokea "vijisenti" kama hivyo, lakini labda atakuwa ameficha kwenye akaunti yenye jina la mtoto au mke. Wakubwa wake kazini nao watakuwa wamepewa "vijisenti" vinavyofikia angalau kiasi alichopokea yeye.

Kumejaa mambumbumbu mikoani. Ni mpaka hawa mafisadi watakapofukuzwa CCM ndipo kitaeleweka huko kwamba haifai kuwapokea kama mashujaa.

I will give JK the benefit of the doubt. I assume, for now, that he will evenually use his powers to expel Chenge and company from the party. Hawa ni wezi na wanyang'anyi. Haifai kuwa nao CCM.
 
Mwalimu Agustino,

Lakini kama Mwenyekiti anauma na kupuliza ili chama chake kiendelee na utawala ambao unalinda uhujumu na uharamia, kuna faida gani kuamini kuuma na kupuliza kwake kutaokoa Taifa?

Inafanya ile mada yangu ya kutaka tuuze Ikulu na Bunge iwe na maana na tuanze kuifikiria kwa makini!
 
Look how happy they are...like ngabu says..ndivyo...

shujaa.jpg
 
I repeat and I will repeat .... problem is with the President!

I repeat and I will repeat...problem is with the Media!

Thomas Jefferson once said that informed citizenry is the only true repository of the public will.

It is difficult to say that these people intended to sing Chenge praises. We do not know that they know what is going on here. They think he is a celebrity because he has been in the news lately. The editorials should have creamed him and the hypocrisy machine of Mwanza CCM before he arrived there.

These people are uninformed citizenry, they have to be. No person in his right mind would throw confetti to a resigned leader under such a heavy cloud of suspicion. Unless you believe that they are all wantonly bone-headed. Which I vehemently reject.

Blame the Media!
 
everyone is to blame including those happy people, didnt the media writeabout him resigning after being found with those accounts but still cheer...maybe they didnt get the news over there.

Watanzania are to blame.
 
Trully the country is divided, and majority are completely un-informed, disconnected or are not bothered with kelele za Uhujumu.

..Ni kweli Rev. na statistics zinasema kuwa vijijini kuna watu wengi kuliko mijini,vyama vya upinzani vingekwenda huko na kuweka kambi mara kwa mara.
 
Kazi kweli kweli. Si ajabu hata uzushi kuwa Chenge amejiua ulitoka kwenye mtandao wa Chenge mwenyewe ili kupata sympathy kutoka kwa wadanganyika.

CCM na maigizo; maigizo na CCM.
 
Kuhani,

My reaction is about wananchi reactions and Chenge's actions. Same tghing that was done by Lowassa.

Media if it is bought or not, what they did is to report events.

Sasa sisi wabanguaji mambo inabidi tuanze kujiuliza maana ya hivyo vitendo vya Sherehe na Shamrashamra.

Tayari tunaambiwa kila kijiji huyu "Bangusilo wa Vijisenti" alipopita, palichinjwa Li-Ng'omphe" na kulikuwa na vikundi vya ngoma vikitumbuizwa ambavyo wlilipiwa na mama Komandoo Lucy.

Mkuu wa Wilaya anaukana Ukuu wake na kusema alikwenda mpokea Bosi wake. Anatoa mkwala kwa UDP na Wapinzani ambao walikuwa waandamane na kumzomea "mtemi" aliye uchi, na si ajabu aliwanyima kibali cha kuandamana! Kasema alichofanya kwa ujio wa "Masihi" ni kama Mwana CCM mkereketwa (Ibara ya 15.1?)

The question is still what in the heck is going on in vichwa vya watanzania na hasa cha Raisi wetu na Mwenyekiti wa CCM?

Mimi nikimpiga vijembe Kikwete, mnanikoromea kuwa nina langu jambo. Lakini hawa "Wahujumu" kutamba nchi nzima kuwa wao ni powa na hata kutikisa kiberikti kumdhihaki Raisi ni dole tupu?

Kilchofanyika Bariadi majuzi ni KUFURU kwa mara ya pili baada ya ile ya Monduli!
 
Mchungaji,
Kinachoniuma mimi zaidi,hizi kufuru zote ni pesa ambazo mie ninachangia,kodi zetu wao wanatumia kujitafutia umaarufu.

wamefikia stage ya kujitangazia kifo ili kujipatia umaarufu,na ndio maana alisema antoka ahera anaelekea Tanzania sehemu ya Bariadi.wamewaloga kwa madawa ili watukuzwe,wametenda dhambi,ni wauaji,wanafanya yale yanayomschukiza Bwana.Je ni nani atasimama kuwaondoa.

Lile Agizo alilotoa mwanakijiji kuhusu viongozi wa dini,nadhani wameshindwa kuwakemea hawa,au watumishi wako katika payroll zao
 
Mara zote mdau nimekuwa nikisema kuwa kuna kitu sisi wengi tunapungukiwa, nacho ni uwezo wa kuwafikia watu wa vijijini. Sishangazwi na namna wanavyowapokea mafisadi kwani naammini kabisa wanakuwa wamenunuliwa kama ilivyotokea pale mwanza ambako kuna kikundi kilinunuliwa eti kikanushe kwamba wannchi wa mwanza hawali mapanki kama Jk alivyotaka kuwaaminisha wengi lakini ukweli ulidhihirika dhairi kuwa watu wanakula mapanki.

Kuwafikia watu wa vijijini ni ngumu kwa sasa na kuwaacha wapotee haiwezekani kwani dhamira zitatusuta (haunt) na kusaidia hili ni vizuri kuchangia kwa njia nyingine pia ikiwemo njia ya radio (hapa nazingatia suala la radio zetu ambazo censoring ni ya kufa mtu) ili kuwafahamisha madhira ya ufisadi na ubaya wa kukaa karibu na fisadi, viongozi wa dini wanaweza kufanya hili lakini suala la sadaka za mmafisi ni muhimu kwa sasa

Watu wajinga wanamvutia kila mlafi
 
Ndugu zangu, cha msingi ni kuzishinda fikra. Mwalimu wangu wa somo la historia alipandikiza mbegu ya kukana kutawaliwa kifikra alipofundisha kile ambacho najua wengi mlikisoma kwenye historia; colonial legacy.

Mojawapo ya mabaki ya Ukoloni ni uduni wa fikra. Ni kutojiona huwezi, kutojiamini, kushindwa kutoa changamoto kwa fikra dhaifu na zaidi ya yote kukubali fikra zisizo na mantiki kwa kuangalia nani amezitoa.

Ni masalio mabaya zaidi ya ukoloni na hata utumwa kuliko kuachwa na miundo mbinu mibovu, au viongozi wabovu.

Ndio maana kwa upande wangu bado naamini kuwa kabla ya kuwashindwa watawala kwenye sanduku la kura, ni lazima tuwashinde kwenye baraza la fikra! Ni lazima tuoneshe kuwa fikra tulizo nazo ni bora na ni msingi wa itikadi, sera na sheria bora. Bila kubadilisha fikra za watu tutaendelea kushangazwa kila kukicha.

Hatuwezi kuvilaumu vyombo vya habari katika hili: Dar-es-Salaam kuna intaneti, TVs, Radio, Magazeti, na vitabu bwelele mbona hawana mbunge hata mmoja wa upinzani? Mbona wamejaa wana CCM ambao huwezi kuwaambia lolote na nakuapieni hata kesho Lowassa akijitokeza kuvuna wanachama atapata wanachama wapya!!

Si majuzi Waziri Mkuu amezoa wanachama wapya 700 huko Iringa baada ya kuwaambia CCM na ufisadi havihusiani? Si mkubwa kasema? si "DC" kasema?

Kinachoendelea Bariadi na mnachokiona ni watu kukubali kuwa duni na kuuza haki zao za kuhoji ili kuwa kwenye mstari mmoja. Watu wamekuwa kama vitoto vya bata ambavyo vinamfuata mama bata kwenye mstari ulionyoka. Hata mama bata akielekea ambako atagongwa na gari basi vitoto navyo vitakufa. Vifaranga vya kuku hata hivyo viko tofauti; vinamfuata mama as long as mama anaweza kucharua charua na pindi vikijua jinsi ya kucharua hivyo vinaanza kucharua kivyao vyao. Matokeo yake utakutana na vifaranga vilivyopotea njia.. lakini havitakufa njaa, vinajua kucharua!

Ndugu zetu wengi wa vijijini bado wanaamini kuwa CCM ndio kama mama yao na as long as kuna magoma, nyimbo, magari n.k basi wao mambo yanaishia hapo.

Lakini jingine limekwishasemwa hapa; kama JK angewatimua je kina Lowassa na Chenge wangekuwa na ujiko wa kwenda kwao na maandamano? Si ingeonesha a direct challenge to the President? Lakini kuwaacha wajiuzulu ni kuwapa ujiko. Wao wamegeuza kujiuzulu kutoka kuwa tendo la aibu na fedheha na kuwa tendo la sifa na ujiko. Na as long as CCM haiwaadhibu wanachama wake basi ni wazi kujiuzulu kwao kunatenganishwa na makosa yao na badala yake inakuwa "kitendo cha kishujaa".
 
Ndugu zetu wengi wa vijijini bado wanaamini kuwa CCM ndio kama mama yao na as long as kuna magoma, nyimbo, magari n.k basi wao mambo yanaishia hapo.

MWalimu alishasema CCM Siyo mama Yangu,Kama kikiacha Misingi yake nitakiacha na alishwahi kusema kumwambia Mzee Kawawa,anna Roho Ngumu sana sababu yake ya kuendelea kukaa na Chama wakati kinaendelea kupotoze Misingi yake.

Ndiyo maana sishangai watu kama kina kawawa hawajarudisha kadi za chama chao ili kumuenzi Mwalimu,wawazilie Chama chao.Mie nilishafikiria kufanya hivyo ila najua isingewaathiri kwa chochote,Nimeamua kujiunga nao kwa kuwaambia ukweli mpaka pale watakapobadilika.

CCM si mama Yangu na kikiendelea kuacha misingi yake ,kamwe sitasita kukiambia ukweli.
 
Inasikitisha Sana.
Juzi Wahisani Wanaochangia Forty Something Ya Bajeti Yetu Walielezwa Serikali Inachofanya Kuhusu Ufisadi, Hadi Wakaridhika, Je Sisi Tuanochangia Fifty Something Tutaelezwa Lini? Na Sisi Tunataka Kuridhika Ili Tuendelee Kuchangia Bajeti.
Mimi Nahisi Hawa Wafadhili Ni Lazima Watoe Hio Hela, Kwa Hiyo Wakipata Sababu Kidogo Tu, Wanakubali Yaishe, Manake Wanaona Uvivu Kutafuta Nchi Nyingine Ya Kupeleka Misaada Yao, Mpaka Wafanye Risechi, Wazoeane Na Viongozi Wengine Wanafiki, Bora Wakae Hapa Kwa Kibaraka Wao.
 
hivi mie nataka kuuliza, kwa nini wananchi wa pemba, kisiwa kizima wameweza kuachana na ccm wakati sehemu nyengine ya tanzania imekuwa kama ukoma na kushindwa kupona?

labda tunaweza kujifunza machache kutokana na experience ya kule
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom