Diva wajibizana vibaya na Diamond Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL

Huyu diva kitambo alikuwa mweusi...hinz hizo anaishi tip top huyu...brow wang anaitwa doka..ambaye rafiki wa madee ndio alikuwa bwana wake...sasa yupo clauds anajifanya mzungu??? na akazwe tu maana hakuna jinsi

Naona Kama Alikuwa Mweus Na Sas N Mweup #AKAZWETU , HAMNA NAMNA YA KUKWEPA HILO labda atakuw mweus tna
 
hapo ndo umeharibu...kwanini huhisi kila asiyempenda diamond ni team kiba....huyo atamzomea kwakuwa anaishabikia ccm si kwakuwa ni adui wa kiba mzee!jiongeze
Unajua mambo mengine hayana ushahidi wa moja kwa moja lakini ushahidi wa mazingira unaweza kutumika kufikia maamuzi! Ngoja aje hapa super lawyer wa jukwaa la celebrity, Ruttashobolwa atudadavulie ni namna gani ushahidi wa mazingira unaweza kusaidia kufikia maamuzi!

Kwanza hasira za ENZO ni Diamond kuipigia kampeni CCM na kwahiyo ENZO anasema lazima wamzomee kwenye show zake!!! Kama ndivyo, sasa suala la kampeni za CCM na show za Diamond wapi na wapi? Kama shida ya ENZO ni CCM, kwanini asiende kuzomea kwenye kampeni za CCM na anataka kwenda kuzomea kwenye show?

Swali hilo la mwisho linaturejesha kwenye historia! Kumbukumbu zangu zinaonesha Diamond amepata kuzomewa ile kwa maana ya kuzomewa mara mbili na katika show zote ni zile ambazo Kiba alikuwepo... what a coincidence! Baada ya hiyo intro tunazalisha swali lingine... kwanini show zote alizozomewa ni zile zinazomkutanisha na Ali Kiba na sio zingine?! Hivi inaingia akilini ktk mazingira ya kawaida Yanga na Simba wanacheza halafu wachezaji wa Yanga wawe wanazomewa na mashabiki wa Ndanda United? Hivi inaingia akilini mahasimu waliopo jukwaani ni Kiba na Diamond lakini Diamond azomewe na mashabiki wa Jux au Mwana FA?! Just thinking it loudly!!!
 
Last edited by a moderator:
Diva na sauti yake ya kujiamini ikiambatana na nyodo ajibizana na Diamond On Air kisa mambo ya Instagram.
attachment.php

wacha alalamike akikazwa atatulia
 
Attachments

  • 1440603880794.jpg
    1440603880794.jpg
    50.5 KB · Views: 337
Mh, mbona anajibu kuwa mama yake ni mzungu na mbondei, hivyo weupe ndio rangi yake halali sio hizo picha zingine watu walizi edit sababu alisema wanaume si wasafi?😳
Ila dada anaigiza sana maisha sijui kwa nini haendi huko uzunguni anakokutamani aone alivyo feki.

Alivowaambia mumuulize maswali IG mlitegemea atawajibu majibu sahihi na ya ukweli?
 
Kwanza hasira za ENZO ni Diamond kuipigia kampeni CCM na kwahiyo ENZO anasema lazima wamzomee kwenye show zake!!! Kama ndivyo, sasa suala la kampeni za CCM na show za Diamond wapi na wapi? Kama shida ya ENZO ni CCM, kwanini asiende kuzomea kwenye kampeni za CCM na anataka kwenda kuzomea kwenye show?

Swali hilo la mwisho linaturejesha kwenye historia! Kumbukumbu zangu zinaonesha Diamond amepata kuzomewa ile kwa maana ya kuzomewa mara mbili na katika show zote ni zile ambazo Kiba alikuwepo... what a coincidence! Baada ya hiyo intro tunazalisha swali lingine... kwanini show zote alizozomewa ni zile zinazomkutanisha na Ali Kiba na sio zingine?! Hivi inaingia akilini ktk mazingira ya kawaida Yanga na Simba wanacheza halafu wachezaji wa Yanga wawe wanazomewa na mashabiki wa Ndanda United? Hivi inaingia akilini mahasimu waliopo jukwaani ni Kiba na Diamond lakini Diamond azomewe na mashabiki wa Jux au Mwana FA?! Just thinking it loudly!!!

Mie sio mshabiki wa kiba na wala sijawahi kuwa mshabiki wake!' mi nilikua mshabiki wa diamond tena saana!' na kura mimi nimepgia saana, ni vile tu sijui jinsi ya kutafuta ukiingia kwenye thread ya "Diamond special thread" nilikua nachangia sana, na kuuliza jinsi ya kumpgia kura ili niweze kumpgia. kama unaweza kutafuta huko tafuta halafu utaona nisemalo kama ni uwongo.

Nilikua naamini kuwa watu wanaomchukia ndomo, chuki zinatokana na wivu wa maendeleo yake!' na nachukia sana mtu anapomchukia mtu sababu ya maendeleo yake!' kumbe sikujua ndomo ni mpu.mbavu kiasi hichi, na kumbe watu wanamchukia sababu ya upu.mbavu wake. Unavyosema kuwa tukimzomea ndio tutampandisha chati!' akamuulize Bushoke Fiesta dar kama sikosei 2012 alipoanza kumsifia Kikwete na ccm kwenye steji tulimpga vyupa na kumzomea mpaka akashushwa jukwaani .........

tulia tu!' si kalewa umaarufu mknd yule...........
 
Last edited by a moderator:
umechanganya desa na wewe!...kama pesa,elimu ni 'options' za kupata heshima.,unaanzaje kutoa 'kukazwa' kwenye huo mlinganyo!
Halafu,jifunze street code ya 'heshima' kama inavyotumika kitaa na heshima yenu ya kwenye vitabu!
Diva akazwe tu ndo atakuwa na heshima!....shobo zimezidi!

Kuna wanawake uki'wakaza' wanakudharau kabisa.
 
Halafu huyu diva si alikuwa anamshabikia Diamond huyu??! Akawa anampigia na kampeni kwa madai kuwa amenyooka.....imekuwaje tena?! Lol ncheke mie
 
Mie sio mshabiki wa kiba na wala sijawahi kuwa mshabiki wake!' mi nilikua mshabiki wa diamond tena saana!' na kura mimi nimepgia saana, ni vile tu sijui jinsi ya kutafuta ukiingia kwenye thread ya "Diamond special thread" nilikua nachangia sana, na kuuliza jinsi ya kumpgia kura ili niweze kumpgia. kama unaweza kutafuta huko tafuta halafu utaona nisemalo kama ni uwongo.

Nilikua naamini kuwa watu wanaomchukia ndomo, chuki zinatokana na wivu wa maendeleo yake!' na nachukia sana mtu anapomchukia mtu sababu ya maendeleo yake!' kumbe sikujua ndomo ni mpu.mbavu kiasi hichi, na kumbe watu wanamchukia sababu ya upu.mbavu wake. Unavyosema kuwa tukimzomea ndio tutampandisha chati!' akamuulize Bushoke Fiesta dar kama sikosei 2012 alipoanza kumsifia Kikwete na ccm kwenye steji tulimpga vyupa na kumzomea mpaka akashushwa jukwaani .........

tulia tu!' si kalewa umaarufu mknd yule...........
@ENZO

Don't take it too personal ndugu yangu! Diamond na wengine wote kama yeye muziki ndo kazi yao! Haiwezekani, narudia haiwezekani mtu apate mchongo wa millions of t shillings halafu auache kwa sababu za kisiasa! Na kama anapewa mchongo kama huo na kisha anauacha ndo angekuwa mpumbavu zaidi! Haya mambo tusiongelee kiushabiki na badala yake tuwe realistic! Hata wewe usingeweza kuacha mchongo kama huo coz' hata hao viongozi wenu linapokuja suala la kazi na biashara, siasa wanaweka pembeni! Na ndio maana hata viongozi wenu linapokuja suala la posho bungeni, wote wanaongea lugha moja na CCM.... haya mambo tuweke ushabiki pembeni, hayawezekani!

Reginald Mengi, Bakheresa, Channel Ten na wengine kama wao; hao pia ni wafanyabiashara... tofauti yao ni kwamba wao biashara yao ni media na Diamond biashara yake ni muziki! Sasa mbona hatuoni mkiwalaani akina Bakheresa ambao wanatumia media zao kuitangaza CCM? Mbona hatuwasikii kuwalaani wafanyabiashara wengine ambao tena ndo ambao hasa wanawawezesha CCM kwa ari na mali na badala yake mnahangaika ma hustlers wenzenu? Kuna mahali nimekuuliza hivi kwa wanasiasa gani Tanzania hii wa kuwafanya muwe mnatoka povu na kutukana watu kiasi hicho? Yaani hawa hawa ambao hata wao linapokuja suala la maslahi yao hawataki kuongea lugha moja na nyinyi? Mbona hamkumlaani Ndesamburo pale alipomkodishia chopper kada wa CCM wakati wa kampeni? Hivi kweli unaamini kabisa leo hii CCM watake kukodi ukumbi wa Billicanas MBowe atakataa?

Nimalizie tu kusema kwamba, watu wengi wanaochukia wengine wanapenda kuchanganya mambo! Akimpenda msanii basi atataka hata demu au bwana wa msanii awe ni yule anayempenda yeye (shabiki), chama cha siasa kiwe ni kile anachokipenda yeye, n.k.... haya mambo hayaendi hivyo!!

Acha kuchanganya siasa na kazi coz' hata hao viongozi wako linapokuja suala la kazi/biashara; siasa wanaweka pembeni! Narudia, ni mwanamuziki mpumbavu tu ambae angeweza kukataa mchongo wa kampeni wakati muziki ndo kazi yake! Kwanza hata huyo Diamond wakati anahojiwa alishasema wazi kwamba yeye muziki ni kazi kwahiyo haangalii nani amempa tenda bali anachoangalia yeye nani amekata kisu kikali!!!! Na kwa staili yenu hii ya kujifanya kama nyinyi ndo wenye uchungu sana na nchi hii, nyinyi ndo mnaojua sana suala la mabadiliko kwenye nchi hii... trust me, mtakuwa mnatukana hata ndugu zenu wa damu! Ukimya wa Dr. Slaa kwenye kipindi kigumu kama hiki na kujichomoa kwa Lipumba kulitosha sana kuwapa somo kwamba kumbe hata hawa viongozi wetu wamekalia sana maslahi... sasa ikiwa hata waendesha usukani tu, maslahi kwanza na mambo mengine baadae halafu uje kuwashangaa wasanii??!!!
 
nimependa sana alivyokandia watu wa kaskazini,imempandisha chati sana,ita m boost kwenye kazi zake
 
Ahsante sana Mimi nilikuwa hata nakosa nianzie wapi kuwaelewesha , naongezea kwa kusema tujaribu kujitambua wakati tunashabikia mtu, wampenda Diamond mwanamziki au Diamond mwana siasa, majibu unayo usiyejitambua
Kazi ni kazi don't be too personal , take the deal earn money hiyo ndio sera ya hustler
 
nimependa sana alivyokandia watu wa kaskazini,imempandisha chati sana,ita m boost kwenye kazi zake
Hajakandia watu wa kaskazini ila alihusisha uongozi wa CHADEMA na watu wa kaskazini! Binafsi ingawaje sio mtu wa Kaskazini na wala sina nasaba ya huko na ingawaje hizi siasa zenu mnazokomalia kwa misuli yote kwangu hazina nafasi, lakini bado nilim-mind alipohusisha siasa za ukanda! Hata hivyo siwezi kushangaa; wanadamu tunatofautiana uelewa na ndio maana baada alifuta ile kauli!

Niishie tu kusema kwamba, watu kama nyinyi mtakosoa kila kitu! Hata kama asingeweka hilo suala la ukaskazini bado msingekosa cha kusema! Na kwa jinsi ilivyo, mwanadamu sio mkamilifu... kila wakati atapotoka kama ambavyo wewe a wenzako wote mnavyopotokaga kwavile sio malaika! Kutokana na hilo, hamtakosa cha kusema ima faima! Sina cha kuwapa zaidi ya kuwapa pole kwa kuwaambia "KAZI MNAYO!" na bila shaka mtaendelea kuwa nayo! Diamond hajabadilika na sidhani kama atabadilika coz' yeye ni yeye na nyinyi na nyinyi...!! Isitoshe, wala sioni hicho cha kumtaka abadilike coz' there's nothing special ambacho watu wa wengine hawafanyi! Ikiwa kupotoka kwa kauli hata Mzee Mtei mwasisi wa CHADEMA aliwahi kupotoka alipolalamika kuhoji suala la Tume ya Katiba kuwa na Waislamu wengi huku akijua idadi hiyo kubwa ilichangiwa sana na Wazanzibari!
 
simlaumu,namsifia upeo wake wa akili,kaona mbali sana,kijana ana akili nyingi yule
 
nilipopenda IQ yake ni pale alipogundua kwamba viongozi wote wa chadema ni wa kabila moja
 
Back
Top Bottom