Diva wa clouds fm apigwa chini na prezoo, huu ndo ushahidi. Soma hapa

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
983666_370736553028094_597549111_n.jpg
HUDDAH APOKELEWA NA PREZZO >> Jana jioni mrembo Huddah
Manroe aliwasili nchini
Kenya mida ya jioni
akitokea nchini Afrika
Kusini na kama ulikuwa
hufahamu alipokewa katika uwanja wa ndege
na rapper CMB Prezzo!,
nahisi ume ‘wow’ right? Inavyoonekana kile
alichokuwa
anakizungumza Huddah
mjengoni kuhusiana na
Prezzo sasa ameamua
kukitolea uthibitisho kuwa ni wapenzi (kwa mujibu
wa maelezo ya Huddah na
mapokezi hayo) na
kuamua kuwafunga
midomo ‘haters’ kwa
kupiga picha za pamoja wakitokea uwanja wa
ndege .

1937ec597bef57c1c2ddf56777c168c9_M.jpg

Baada ya kuwasili uwanja
wa ndege Huddah na
Prezzo walipanda gari moja
na kuelekea walikoelekea!,
na kupiga picha
zinazoonyesha uhai wa mahaba, kama unajua
kusoma ‘body
expressions’ ambazo kama
Huddah angekuwa mpenzi
wa mipasho huenda
angeziwekea caption ya “wenye wivu
wajinyonge’!. Ikiwa ni siku yake ya
kwanza toka awasili Kenya
staa huyo Huddah leo
alikuwa na mkutano na
waandishi wa habari
kwaajili ya kuzungumzia ushiriki wake katika Big
Brother ‘The Chase’ na
kujibu maswali ya
waandishi. Siku ya leo Huddah
ameonekana kuwa
dhabahu inayosakwa na
watu wengi ambao kila
mmoja anataka kuonana
nae. #DIVA LOVENESS UPO..???

image_11.jpg



maoni yangu ni wanawake muache kushobokea wanaume ambao unajua kabisa yuko na mpenz wake
 
mbona Diva kuchukua mabwana za watu ndo kawaida yake.....,
alijua na anajua kwamba wawili ni wapenzi na bado alijichomeka.............,

By the way naona anazidi kuseek attention maana juzijuzi
alipost picha yuko almost naked.....
 
Nimeambulia patupu kabisa....hayo majina ni ya watu au mitishamba? Who/what is Diva? At least what does it stand for....the same to Hudda and Prezoo (sp)?
 
Huyo diva anapenda wanaume ambao sio type yake,mtu mwenyew prezo af atok na uo uozo wa diva,i knew it bora ajipange tuuu
 
Kuachwa kuachwa diva kuachwa ni shughuli pevu •Najua uko uliko unaugulia maumivu makali rohoni.

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Arudi tu kwa muheshimiwa.

na alivyomsema vibaya muheshimiwa kwenye mtandao atarudiji,alijua amefika kwa prezzo kumbe prezzo ni mmegaji tu,na diva alikuwa anajua kabisa prezzo yuko na demu
 
hii ndio kawaida ya madem wengi wa kibongo wakipata wanaona wamemaliza kabisa maana kilivyokua kina ringa kilijua kitaolewa
 
ngoja tuone km wataowana cuz tumezoea kuona mbwembwe kama hizi kutoka kwa wasanii mbalimbali halafu hakuna kinachoendelea
 
Ushauri tu kwa dogo aachane na wakenya watamchezea na kumtema kwan wao husema wataoa mwanamke yoyote africa lakini mswahili(mtz) ni isue kwao...nimesoma huko, nilikua na bfs kadhaa na marafiki so ushauri kwake atafute saizi yake mana umri unakwenda huu, akubali tu matokeo!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Diva njoo kwangu utapata tulizo la moyo. Mi sio maarufu lakini

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom