Diva Mentality | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Diva Mentality

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PRECIOUSDOE, Nov 2, 2009.

 1. PRECIOUSDOE

  PRECIOUSDOE Senior Member

  #1
  Nov 2, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo ninataka kuileta mada ya jinsi wanawake huwa wanakuwa madiva wanapopewa cheo kazini ama kukuwa celeb in the music,media or business world.Nimewasikia wanaume wengi wakicomplain bibi amekuwa kichwa ngumu anapopata pesa zaidi ya mumewa kazini ama kwa biashara anayo fanya.

  My own personal experience ni msichana mmoja hapa kazini alipewa chewa akawa manager baada ya wiki moja tuu alikuwa amebadilika kabisa na kuwa DIVA.Akawa mkali mno tena akawa hawasalimu watu,na wewe ukimwamkia anakujibu lakini kwa madharau ni kama kusema hustaili hata kuongea naye.Tena akawa anaongea kwenye simu na kucheka kwa sauti kubwa ili watu wawe wanamnotice tena wakati mwingine huwa anaimba na kukatika ofisini.Lakini haya yote yali backfire ambapo alitengwa na watu wote ofisini except mamanager wenzake.Akawacha tabia hizi na hata akajaribu kuongea na watu tena.

  Another experience ile gym ninapokwenda kuna dada mtangazaji mashuhuri wa radio.Huyu naye huwa anapenda kuwa the centre of attention.Akija apata mpiga stori anaingilia na ku take over.Tena huwa hamwamkii mtu ila yule mtu amwamkiye kwanza ama awe rafiki wake wa karibu.nilipojua hiyo ndiyo tabia yake niliamua sitakuwa nikimwamkia unless yeye aniamkie sasa huwa ananiangalia na macho mabaya nikama ana hasira .Kwa nini mimi nimpe heshima zaidi ya ile anayo nipa mimi ?kwa sababu anasoma news kwenye radio???No! Hanilishi,hanivishi na hata nikianza kumworship vile ambavyo amezoeshwa huko nje ati kwa sababu yeye ni celeb hakuna kitu atakacho ongeza maishani mwangu. Me I believe in mutual respect!

  So nilikuwa ninauliza mumepata kuwa na experience na wanawake hata wanaume ambao wana hii 'Diva Mentality'?How do you handle it sana sana kama ni mtu mnaishi naye ama kufanya kazi naye?
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Loh leo nina hangover hapa sina cha kukandamiza labda kesho ikianza ...
  Carmel,nyamayao ,mj1 ,zd ,kelly kelly kuna mashitaka hapa njooni...
   
 3. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Naomba tuanze na hii kesho, leo timu nzima iko busy. lakini kesho i wilb here for this, i need to think.
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Nov 2, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahah

  Hili bwana kuna majibu mawili
  YES- kuna ukweli kwani baadhi ya wanawake kama binadamu wengine walivyo hupata ulimbukeni wanapokuwa na pesa kuliko waume zao, wanapopata cheo au kuwa successful. Hii kwa kweli huwa ni mbaya sana hasa pale mwanamke atakapoanza kujichukulia kuwa yeye ndo kichwa cha familia hasa akiona ndiye anayetimiza mahitaji ya familia. Wa aina hii wengi hujisahau kabisa na matokeo huwa ni kumdharau mume.

  NO- Kuna wale wengine wanaokuwa victims of circumstances hawa ni wale ambao wanapofanikiwa kimaisha huwa hawabadiliki wao wanakuwa normal ila waume zao ndio wanaodevelop hisia za kuwa mkewe kabadilika matokeo yake chochote atakachofanya mwanamama huyu ataambiwa ni kwa vile amepata pesa, panda cheo n.k. Utakuta hapa mama anawezakufanya kitu ambacho hata alipokuwa hana pesa alikuwa anakifanya but now tafsiri itabadilika mf. anawezakuwa alikuwa na tabia ya kukasirika kama mume amekosea, kununa au hata kusema sana but akiyafanya hayo kwa wakati huu ataambiwa anataka kumtawala mume kwa vile anayo faranga.

  So suala hili mimi huwa sikimbilii tu kuafiki bila kuwapa kina baba tahadhari kuwa kabla hujaconclude kuwa mkeo kabadilika jaribu kuchunguza zamani alikuwaje na wewe ulikuwaje.
   
 5. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280

  Hapa nakupa distinction.

  Ukiacha hiyo situation ya mke na mume ambayo umeichambua vizuri, kuna hiyo pia ya watu wa nje kama alivosema mleta mada.

  watu wa ivo wapo na nilishakumbana nao pia. too much bragging. Na unakuta hata faranga hana ki ivyo ial kwa nafasi yake au kwa vile ni mgeni wa baadhi ya mambo ndo kayafahamia ukubwani basi inakuwa tabu, iwe baa au kwenye gym au popote..barabarani etc.

  kwa mfano kwa hapa Dar nina uhakika kuna kikundi flani cha madiva..hawa wanajumuisha waigiza filamu,(isomeke maigizo), watangazaji na waandishi wa habari..ambao wanaleweshwa na sifa kidogo sana wanazopata kwa kupata nafasi kwenye media kupitia vyombo vyao..matokeo yake tunayaona jinsi wanavomisbehave!
   
Loading...