DIVA LOVENESS LOVE: Atakayenioa mahali siyo chini ya milioni 500

Status
Not open for further replies.
kipindi cha njia panda for the past two weeks (wiki juzi na wiki jana) kilikua kinaongelea Mambo haya haya, Watanzania tumekua watu wa kupondana, kukosoana, kusemana vibaya...bila kufaham maneno yanaumba na jamii ya aina hii itaendela kwa shida sana,,, Tunatakiwa tuanze kubadili mitazamo yetu dhidi ya wengine tuwe watu wa kupeana mioyo, Kufarijiana (sio tu kwenye misiba), Tuache kuwa na mitazamo hasi guys kwa kila jambo linajitokeza katika jamii yetu.
 
no big deal...there are big tym exploiters with big cash and they buy slaves...ni suala muda kidogo tu
 
milioniii 500 kununua mtu duh haa atakesha au anatangaza shida za kwao mi binafsi dowry ikizidi mil10 wasahau bora ninunue gari
 
Ndiyo tatizo la "macelebrity" wa Bongo. Mtu akipata umaarufu tu anajiona wa gharama. Mwisho wa siku wana chezewa tu na umaarufu unapo isha wanashangaa hamna mtu wa maana anae wataka.
 
whaaaaaaaaaat kule chini kwake kuna air condition au anazalisha almas mpaka nitoe mahali ml 500
 
Hakuna tatizo kabisaa kwa maana kwenye biashara kuna swala la "Haggling". Unataja bei yako na mnunuzi anataja bei yake mpaka mnafikia makubaliano. Yeye kesha sema bei yake na potential buyer wataje bei zao mpaka wakubaliane
 
Kwanza huyu msichana ana jihaibisha sana! Alaf mbona wakawida sana? Ngoja nimpoigie mo racka aje nayeye aseme kama ni halali kweli
 
Anajilinganisha na mali,utajiri wa baba yake hajui kuwa mapenzi hayanunuliwi hata senti moja,ajipange pesa si msingi wa mapenzi,akinunuliwa kwa pesa hizo ni utumwa wa fikra na utumwa wa mtazamo pia!!sasa ataweza kuzalisha ili kumfidia alieoa kwa pesa yote hiyo???ni utoto tu akikua ataacha!
 
Tatizo la vidada vya kibongo kujipaisha kama humfahamu unaweza ukajua dem wa ajabu kumbe wa kawaida sana hata bure unachukua
 
Sasa huyu Diva mbona anaover exaggerate mambo, sura yenyewe ipo wapi pale? Au anafikir vmapaja vyake anavyo onesha onesha currently vmeshka? Dada Posa hawa lipii saut hiyo tu!
 
**** yako ina nn ina dhahabu au asali kwanza demu mwenyewe mbovu kikumah ****** sana huyu changudoa wa clouds
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom