Diva aonyesha Mjengo wake mpya

Diva The Bawse sio mtu wa mchezo mchezo, amewaonesha mashabiki jambo ambalo limewashtua katika mtandao wa Instagram.
View attachment 466185
Mtangazaji huyo wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM, amepost picha katika mtandao huo ya mjengo wake anaodai anaujenga huku akiweka wazi kuwa utakamilika ifikapo mwaka 2018.

“Tusichukuliane POA ila nene Hard work Pays. Aisee, don giv Up guys !. focus and Msidharau Online ads , Haya Matangazo ya Insta By 2018 yatamaliza Hii nyumba yangu. Tuseme Inshaallah'', ameandika Diva katika picha ya nyumba
hiyo.

Endapo nyumba hiyo itakamilika itamfanya mtangazaji huyo kuwa miongoni mwa mastaa wenye mijengo mikali hapa Bongo.

Chanzo: Bongo 5
Yaani amejenga ghorofa lote hilo lakini ameezeka kwa Simba Dumu? :D :D :D :D :D :D :D :D .
 
Back
Top Bottom