Diva aomba kurejea Clouds Media, apewa sharti la kwenda kufanya kazi Wasafi FM. Kutambulishwa hivi karibuni

Sikia sio ya kusaga wapo watatu mondi,kusaga na mtu mwingine mondi alikanusha hiyo alipojiwaga 2017 kwenye interview sasa kusaga ndio anayokubwa 57% nasio yake kamfungulia mkewe.
Hivi kituo cha redio ni sh ngapi! mpaka Diamond ashindwe kufungua? Maana hadi umasaini siku hizi redio zipo. Hapo Dar tu zipo zaidi ya 100..Ina maana hao wote wenye hizo redio wana hela kushinda diamond?
 
Sikia sio ya kusaga wapo watatu mondi,kusaga na mtu mwingine mondi alikanusha hiyo alipojiwaga 2017 kwenye interview sasa kusaga ndio anayokubwa 57% nasio yake kamfungulia mkewe.
Sasa Mama katoto kazuri unasema Sio Ya Kusaga na unasema wako watatu, wakati Huo Huo Unamtaja Mondi, Kusaga au Huyu Ni Kusaga mwingine??
 
Oyaaa huyo manzi usimfananishe na kabila langu aisee kwanza hatuna mabinti wa aina hiyo
 
Hivi kituo cha radio ni sh ngapi! mpaka Diamond ashindwe kufungua? Maana hadi umasaini siku hizi radio zipo. Hapo Dar tu zipo zaidi ya 100..Ina maana hao wote wenye hizo radio wana hela kushinda diamond?
Diamond hana hela unavyomwona humuoni anaachika kila siku mara hatoi matunzo ya wanawe huoni wote walio zaanaye wanavyochakarika yeye kaacha tu chata ila kutoa matumizi zeroo licha hiyo station wapiii kila kitu alichonacho lazima anawatu wanainvest unajua shida sio kuwa nayo shida nikuimanage.
My dear hata hizi kampuni kunakitu kinaitwa shareholders huwezi kuwa mwenyewe wewe kama wewe utafilisika wewe ni majority share holder ndio mwenye kampuni ndio maana kampuni ikilega unatolewa kuwa mkuu anawekwa mwingine kama hujui kuiendeleza .
Duniani ni kampuni chache haina wasaidizi .
Jua hilo ndio maana daimond anajitangaza unajua huyu mtu mimi namkubali kisa anajitahidi sana.
Sio kila redio ni bei ya chini normal redio station isiyo makuu nikuanzia ml80 mpaka 150 hapo hujawalipa wateja.
Sasa kama wasafi ni ghali huoni wanalipwa vizuri sana ni ghali sana sijui bei yake ila inaonekana .
Halafu kama clouds nayo ni hela ndefu kuanziasha hadi leo kuendeleza sio ndogo .
Halafu kingine ila ya majizo iko hivyo ila ni hela ndefu nayo na inawatangazi vichwa wanalipwa vizuri sana
I hope umenielewa.aaa.
 
Diamonda hana hela unavyomwona humuoni anaachika kila siku mara hatoi matunzo ya wanawe huoni wote walio zaanaye wanavyochakarika yeye kaacha tu chata ila kutoa matumizi zeroo licha hiyo station wapiii kila kitu alichonacho lazima anawatu wanainvest unajua shida sio kuwa nayo shida nikuimanage.

Yan majizo aweze kumiliki radio, lakin diamond ashindwe kumiliki radio! Makubwa sana haya. Kama kituo cha radio ni mil 150, show moja ya diamond nje ya nchi ni Kati ya mil 70-100. Kwa mwaka anazipiga show hata 20, ashindwe kumiliki radio ya mil 300! Mnamchukulia poa sana. Siku Mo Dewji ameenda Wasafi alikuwa anampongeza kwa kuweka investment ya radio ya Wasafi na TV. Unataka kuniambia wewe ndo unajua undani wa investment ya diamond kuliko hata Mo! Hongereni sana na story zenu za vijiwe vya kahawa
Screenshot_20210612-094225.png
 
Yan majizo aweze kumiliki radio, lakin diamond ashindwe kumiliki radio! Makubwa sana haya. Kama kituo cha radio ni mil 150, show moja ya diamond nje ya nchi ni Kati ya mil 70-100. Kwa mwaka anazipiga show hata 20, ashindwe kumiliki radio ya mil 300! Mnamchukulia poa sana. Siku Mo Dewji ameenda Wasafi alikuwa anampongeza kwa kuweka investment ya radio ya Wasafi na TV. Unataka kuniambia wewe ndo unajua undani wa investment ya diamond kuliko hata Mo! Hongereni sana na story zenu za vijiwe vya kahawaView attachment 1816002

Hivi kituo cha radio ni sh ngapi! mpaka Diamond ashindwe kufungua? Maana hadi umasaini siku hizi radio zipo. Hapo Dar tu zipo zaidi ya 100..Ina maana hao wote wenye hizo radio wana hela kushinda diamond?
Diamonda hana hela unavyomwona humuoni anaachika kila siku mara hatoi matunzo ya wanawe huoni wote walio zaanaye wanavyochakarika yeye kaacha tu chata ila kutoa matumizi zeroo licha hiyo station wapiii kila kitu alichonacho lazima anawatu wanainvest unajua shida sio kuwa nayo shida nikuimanage.
My dear hata hizi kampuni kunakitu kinaitwa shareholders huwezi kuwa mwenyewe wewe kama wewe utafilisika wewe ni majority share holder ndio mwenye kampuni ndio maana kampuni ikilega unatolewa kuwa mkuu anawekwa mwingine kama hujui kuiendeleza .
Duniani ni kampuni chache haina wasaidizi .
Jua hilo ndio maana daimond anajitangaza unajua huyu mtu mimi namkubali kisa anajitahidi sana.
I hope umenielewa.aaa.
 
Diamonda hana hela unavyomwona humuoni anaachika kila siku mara hatoi matunzo ya wanawe huoni wote walio zaanaye wanavyochakarika yeye kaacha tu chata ila kutoa matumizi zeroo licha hiyo station wapiii kila kitu alichonacho lazima anawatu wanainvest unajua shida sio kuwa nayo shida nikuimanage.
My dear hata hizi kampuni kunakitu kinaitwa shareholders huwezi kuwa mwenyewe wewe kama wewe utafilisika wewe ni majority share holder ndio mwenye kampuni ndio maana kampuni ikilega unatolewa kuwa mkuu anawekwa mwingine kama hujui kuiendeleza .
Duniani ni kampuni chache haina wasaidizi .
Jua hilo ndio maana daimond anajitangaza unajua huyu mtu mimi namkubali kisa anajitahidi sana.
I hope umenielewa.aaa.
Mambo ya watoto ni mapatano binafsi, kama mtu anaweza mpa mwanamke aliyezaa nae hela afungue biashara asimbugudhi hiyo ni juu yao. Na ndo maana hujawahi sikia kuna mwanamke amelalamika mtoto wake ametelekezwa. Diamond ni balozi binafsi wa makampuni zaidi ya 5, kuanzia ya vinywaji hadi simu. Ndani ya mwezi mmoja makampuni yote yanamlipa jumla milioni 250, miaka yote hiyo. Ashindwe kumiliki radio ya mil 300! Umelishwa sumu sana. Fanya research binafsi. Acha kusikiliza maneno ya mtaani
 
Yan majizo aweze kumiliki radio, lakin diamond ashindwe kumiliki radio! Makubwa sana haya. Kama kituo cha radio ni mil 150, show moja ya diamond nje ya nchi ni Kati ya mil 70-100. Kwa mwaka anazipiga show hata 20, ashindwe kumiliki radio ya mil 300! Mnamchukulia poa sana. Siku Mo Dewji ameenda Wasafi alikuwa anampongeza kwa kuweka investment ya radio ya Wasafi na TV. Unataka kuniambia wewe ndo unajua undani wa investment ya diamond kuliko hata Mo! Hongereni sana na story zenu za vijiwe vya kahawaView attachment 1816002
Naenda ku
Mambo ya watoto ni mapatano binafsi, kama mtu anaweza mpa mwanamke aliyezaa nae hela afungue biashara asimbugudhi hiyo ni juu yao. Na ndo maana hujawahi sikia kuna mwanamke amelalamika mtoto wake ametelekezwa. Diamond ni balozi binafsi wa makampuni zaidi ya 5, kuanzia ya vinywaji hadi simu. Ndani ya mwezi mmoja makampuni yote yanamlipa jumla milioni 250, miaka yote hiyo. Ashindwe kumiliki radio ya mil 300! Umelishwa sumu sana. Fanya research binafsi. Acha kusikiliza maneno ya mtaani
Wewe unaingiza miangapi kwa mwaka mie 0 wewe
 
Utoto umeanza kumtoka, Ni hatua nzuri, Na mtu hujifunza kutokana na makosa.

Akae apige kazi na akubaliane na changamoto za hapa na pale maana changamoto za maisha katika utafutaji wa mkate haziepukiki.

Wanaume wapo tu na kama atatulia akakubali kubadilika kujifunza na kupunguza ndulu pia wa kumuoa atapatikana tu ila siyo matangazo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom