Diva amenyanyulia mikono Diamond, ndio msanii namba moja kwa sasa Tanzania

Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
13,509
19,884
Habari wadau,

Kupitia Instagram yake ameandika haya:-

“Mtangazaji namba 1 wa kike Tanzania niliwahi Piga Picha Na Msanii Namba 1 Tanzania saa Hii na tuna wimbo wetu unaitwa Piga Simu .. so acha nipost.

Untitled-1.jpeg

Apa tulikuwa Marafiki sana apa …sana… semeni ukweli asa hivi ni msanii gan anamshinda? Hakuna..kila nikiangalia naona kawaacha mbali sana saa hii anapiga sana kazi … saa hii kawa mkaka..growth , his personality n work ethics zote amekuwa sana ..so wengine mkijitahidi pia tutawasifu. Msinune lakini …nimesema tu ukweli.. i say things in seasonal for now dude is number 1..case closed.
@diamondplatnumz is number 1 i said it 😇”
 
Kiukweli Diamond ndio king...Kujiweka mbali na Diamond au kutomzungumzia ni kujikosesha pesa kwa mwanahabari.

Niwapeni tu story kuna online media moja uko youtube yakuitwa rick media iliingiaga mkataba na hamonaizi waandike habari zake kwa sharti la kutoandika habari za Diamond na Wasafi. Jamaa akawapa mpaka Noah yake ile ili wafanyie shughuli zao. Sasa jamaa wakakaukiwa content Tv yao ikadoda maana usipoandika habari za Diamond watu watazifata zinapoandikwa. Basi jamaa wakaanza kukava ishu za Mondi, Konde akaona msinitanie akaenda kuwapora noah yake 😂😂😂
 
😂😂😂
 
😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom