Kwani Ditopile ameshapona ugonjwa wake wa ukichaa??Kuna tetesi kuwa JK amemteua Ditopile kuwa Mwenyekiti mpya wa bodi ya korosho.
Kuna tetesi kuwa JK amemteua Ditopile kuwa Mwenyekiti mpya wa bodi ya korosho.
Kama kuna tetesi basi zifuatilie na tuletee uhalisia wa habari nasi tutaanza kuhoji kama ni kweli.JK akiteua si anatangaza ama anaweza kufanya mambo kimya kimya ? Siamini kama JK anaweza kuwa kicha ama hata chaka la aina hii la kumteua mtu mwenye kesi kubwa namna hii Mahakamani .
Ile kesi nasikia ndugu nyangu ishavurugwa ile mbaya...watu wamehongwa,ushahidi umelipuliwa,kwa ufupi tu ni kuwa hakuna kesi.
Tanzania inawezekana baba!
Kwa hiyo walivyosema kwamba kesi ya Zombe na Ditto kujadiliwa mahakama kuu walikuwa wanacheza na akili za wadanganyika????
Kwani Ditopile amehsapona ugonjwa wake wa ukichaa??
alihawi kuwa mkuu wa mkoa katika ile mikoa ya korosho...Hizi habari mpya tena, mie ningesikia bodi ya asali ningeamni mara moja kwani nasikia kawa mfanya biashara mkubwa wa asali, sasa hii ya korosho mpya hii.
halafu ndugu zangu mnajadili mada za humu ndani kizembe kweli!
sasa ikija kuthibitika ni kweli huyu aliyeomba habari hii iwekwe katika nyepesi atajutia haraka zake?
mnashangaa hilo wakati chenge amerudi katika baraza la JK?
wadanganyika tuna mdudu wa kuamini watu sana, humu ndani kuna watu wanamuona JK kama mtu wa maana sana eti tu kwakuwa ni rais, nani aliwaambia kuwa vichaa hawawezi kuwa na rais wao?
kuna kipimo kuwa JK ana akili kuliko wengine nchi hii kwahiyo anastahili kwa sifa zake kama sio bahati kuangukia watu bila kujali mjinga ama mwerevu?
kama huna la kuchangia achana na haya!
nani kakwambia wenyeviti wa bodi kuna sifa zozote?
fikirieni kabla ya kuandika nchi hii wote tunabebwa na wajinga siku wenye akili wakiingia ya kenya yanaingia kweupeeee