Pundamilia07
JF-Expert Member
- Oct 29, 2007
- 1,439
- 54
R.I.P. Bro. Ditto.
Na mimi nimeisikia TBC-1 ila wamesema kafia hotelini alipofikia morogoro!
Mungu amlaze pema peponi na bila shaka watakutana na dereva wa daladala.Wasameheane ili utukufu wa mungu utawale.
Haya ndugu zangu yule jamaa wa kujichukulia hatua za kuua, ametutoka leo usiku akiwa hotel moja mkoani morogoro leo
Source http://www.blog.co.tz/athumani
duh na huyo mama nae maefariki?? duh wapumzike kwa amani