Ditople, Kalumuna wafariki!

Sir Leem

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Messages
576
Points
225

Sir Leem

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2008
576 225
Habari zilizopatikana hivi punde ya kuwa aliyekuwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ukiwaona Ditopile amefariki dunia kwenye Hospitali ya mkoa wa Morogoro

Mbali ya brother Dito ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo lakini pia kuna yule Binti Leocardia Kalumuna ambaye Gazeti la Mwanahalisi lilimuorodhesha kwamba aligawiwa "vijisenti" na Mzee wa suti za Ulaya Andrew Chenge, naye amefariki dunia usiku wa kuamkia jana mjini Morogoro!

kabla ya kifo chake Kalumuna alikuwa ni katibu wa Vijana wa CCM wilaya ya Mbeya mjini.Kalumuna ni rafiki wa Karibu wa Mkuu wa mkoa wa Ruvuma na mbunge wa Iringa mjini monica mbega.

CCM ilimtegemea sana katika kuvunja mtandao wa Mwandosya mbeya na kabla ya kifo chake aliongezewa nguvu nyingine kwa kupelekewa katibu mwanamtandao na rafiki binafsi wa Emmanuel Nchimbi,Rhoda George kuwa katibu wake wa vijana wa CCM mkoa wa mbeya.
 

Sir Leem

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Messages
576
Points
225

Sir Leem

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2008
576 225
Ni ya uhakika mkuu!Ameugua ghafla na na kufariki!Madakatari bado hawajajua chanzo za kifo chake!huenda taarifa ikatolewa baadae!Bado yupo hospitali ya mkoa wa morogoro!
 

nat867

Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
97
Points
0

nat867

Member
Joined Feb 14, 2008
97 0
Na mimi nimeisikia TBC-1 ila wamesema kafia hotelini alipofikia morogoro!
Mungu amlaze pema peponi na bila shaka watakutana na dereva wa daladala.Wasameheane ili utukufu wa mungu utawale.
 

Waridi

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2008
Messages
1,027
Points
1,195

Waridi

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2008
1,027 1,195
JF members,
I have just received an sms from a friend in Dar, that according to Radio one,the bearer of the name, ex RC has passed away.Dont stone me if it might be proved other wise,Im making a follow up in other local media to confirm the truth.
 

Kithuku

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2006
Messages
1,397
Points
1,250

Kithuku

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2006
1,397 1,250
Kwa mujibu wa mila na desturi zetu anaefariki huzikwa na kuombewa rehma, na ya kale (yasiyopendeza) hufunikwa na kusahauliwa. Hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Buriani Ditto.
 

Selous

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2008
Messages
1,327
Points
1,225

Selous

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2008
1,327 1,225
Asante kwa taarifa, nimestuka kusikia hatupo nae kwani nilitaka sana ajibu ile kesi ya kuua bila kukusudia. Kwa kuwa hukumu bado lakini mimi sina haja ya kumtakia mema. Mola atamuamulia.
 
Thread starter Similar threads Forum Replies Date
Qunax Matangazo madogo 0

Forum statistics

Threads 1,392,380
Members 528,604
Posts 34,107,347
Top