Disturbing video shows Police kill unarmed man in Eastleigh

gaza wako hata githurai na kayole...hawa vijana waovu kwelkwel
Kweli jombaa Eastlands yote hilo genge la vijana wachanga wanaojiita Gaza ni kero kubwa.Pale katikati ya Kayole na Dandora Phase1 kuna Police Station inaitwa Mihang'o kila O.C.S anayekuwa 'posted' tangu mwaka jana hafanyi kazi hata wiki moja,akidhubutu kuingia kazini tu,risasi!Wamewaua Commander watatu!
 
Dah hapa kitaa tumebishana na jamaa zangu nusra tutoane macho, yaani msimamo wangu ni hapana sio kwa style hiyo. Bora wangekwenda kummalizia porini lakini sio mbele ya watoto na jamii kwa design hiyo. Hatujafika huko......
 
Sheria mhalifu akikamatwa inabidi afikishwe kwenye vyombo vya kutoa haki hii ya askari kujichukulia hatua na kupiga wahalifu inajenga utamaduni mbaya hata watu wataiga kujichukulia sheria mkononi na ni kinyume cha sheria na haki za binadam tuna uhakika gani kwamba waliokufa ni wahusika kweli waliowauwa askari ni ngumu kuprove hivo sio jambo nzuri
 
Simfaham alouawa na wala sio mkenya but am shocked at how wakenya are casually purporting to support what just happened! My heart has never beat faster! This is wrong on so many levels, I can't even begin to comprehend. What could justify Shooting a SUSPECT in full glare of the crowd like that? There could be children in crowd for crying out loud! What are courts for if it's OK to pass judgement out in the streets like that? We are better off discussing a return of the death penalty as opposed to what I just witnessed! OMG! What if the police was wrong? Mistaken identity? What if it was you? It wouldn't matter how you pleaded coz all he's thinking is execution!. That's a clouded mind, and in this state decisions made are more times than not wrong. I shouldn't have watched that! And for those advocating for the same.... pray hard cz what goes around might just come back around.
 
cops_killing.jpeg

A screen grab of an alleged plain-clothes police officer shooting a suspected Super Power gang member in Nairobi's Eastleigh area.

17757353_10155213844274106_4691079688891912813_n.jpg

The killer cop's name allegedly is Ahmed Rashid from Pangani police station.
 
If it's confirmed they are thugs, killing them in public was a good idea, very good one! It sends a good message to the rest of them thugs in town an iron fist will be used against you once caught.
 
Sheria mhalifu akikamatwa inabidi afikishwe kwenye vyombo vya kutoa haki hii ya askari kujichukulia hatua na kupiga wahalifu inajenga utamaduni mbaya hata watu wataiga kujichukulia sheria mkononi na ni kinyume cha sheria na haki za binadam tuna uhakika gani kwamba waliokufa ni wahusika kweli waliowauwa askari ni ngumu kuprove hivo sio jambo nzuri
Unaambiwa wameshakamatwa mara nyingi sana, na kila Mara panakosekana ushahidi madhubuti, wanaachiliwa. So they deserved what is done to them.
 
cops_killing.jpeg

A screen grab of an alleged plain-clothes police officer shooting a suspected Super Power gang member in Nairobi's Eastleigh area.

17757353_10155213844274106_4691079688891912813_n.jpg

The killer cop's name allegedly is Ahmed Rashid from Pangani police station.
Safi sana kiongozi, https://jamii.app/JFUserGuide them gangs! They should be killed like rats!
Mi nawapa PONGEZI hawa polisi, a job well done. Watu ambao hawajawahi ibiwa hawawezi elewa hapa.
 
Are these pictures supposed to prove anything?
Did the police use these to execute them out in streets?
Am not denying they COULD be gangsters, but it has to proven beyond reasonable doubt. What is necesary is to empower the investigative arm... make whatever they are thought to have done a capital offence, return the death penalty then kill them whichever way you please! Same result but just and correct.
 
Back
Top Bottom