Disk Partition Magic Software | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Disk Partition Magic Software

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Buswelu, Feb 25, 2008.

 1. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hi Jambo Forum


  I Just heard about Disk partition Magic softaware.Does anyone know the better side and the worse side of this softaware.I heard this coz my laptop have have been divided in two side there is C\Drive and D\Drive total amount of all this drive have 80GB so they have been divided on two better part 40 by 40..i want to move some 10GB from C\Drive to D\Drive...what are the disadvantage of this operation of anyone ever done this before!!

  What if the software fails to operate properly...?

  Just need some ideal and some tips.

  Always
  Buswelu.
   
 2. C

  Chuma JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2008
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Inafaa...very usefull...zipo za aina nyingi. ambayo ipo maarufu inaitwa Partition Magic v8 or 9....u can get from Google. so far utatakiwa ununue Key. au Licence file.
  Ipi unayo unaitumia? Unatumia window Gani?

  Kama Vista...unaweza partition from Computa management..lkn still ina limitation zake...the best ni hio Partition Magic..[ndio maana wenyewe wakaamua kuiita Magic]

  Kwa muda wote watu wana suffer n hii Disk partition..Tujiulize kwanini Microsoft hadi hadi sasa hawajaweza au hawajaona umuhim wa kuwa incorporate Disk Partition Software ktk Window yao....
   
 3. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #3
  Feb 28, 2008
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,276
  Trophy Points: 280


  Mkuu Buswelu,

  Sasa nijuavo mimi ni kwamba kuna makusudio mengi tu ya kufanya partition katika hard disk. Sasa wewe unafanya partition katika laptop yako kwa ajili ya nini?

  Je unataka operating systems mbili tofauti? Mfano Windows XP au Vista?

  Au unataka kuwa na sehemu tofauti tofauti za kuhifadhi files mbalimbali?

  Kama unafahamu kwamba laptop ni "always sensitive case" na ukianza kuitia ufundi italeta matatizo na itabidi ugharamie matengenezo yake!

  Naomba ufafanue kidogo.
   
 4. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #4
  Feb 29, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Richard and Jambo Forum.

  Iko hivi niko la lap top..lakini iko na partition mbili C drive and Drive..kila moja ina 40GB.Dhumuni hasa la kifanya partition
  nataka 15GB from C drive zihamie kwenye D Drive.

  Na hii software inaonekana inaweza..kwa ku drag free GB fro one side to another.

  So inafanya...kuwa D drive ina GB nyingi kuliko C dive.

  Buswelu
  .
   
 5. BabaH

  BabaH JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2008
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 703
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ok kama unatumia windows ambayo sio vista, then download hiyo magic then nenda kwenye www.seriall.com tafuta cracks utakuta kibao hapo, chukua unayotaka hapo, then install weka serial fanya mambo kaka, kama ni vista nenda kwenye Home page ya vista wameelekeza jinsi gani ya jufanya partision kwa kutumia software ambayo iko kwenye Vista
   
 6. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2008
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,276
  Trophy Points: 280


  Mkuu Buswelu hio program siiamini sana kama inaweza kukusaidia kufanya partition kwenye laptop yako.

  Sasa unaweza ukaamua ku-reformat upya HDD ya laptop yako na uweke 50-50 kwa kila partition yako ukitumia Windows XP either Professional au Home Edition.

  Yaani baada ya hapo utakuwa na OS mbili tofauti yaani Windows XP na Vista au na Mac. Sasa unaweza ukatenga sehemu hizo mbili wakati ukifanyia reformating na ikafanza kwamba inapo-boot itaonesha hizo OS mbili na unachagua ni OS uitumie kulingana na utashi wako.

  Sasa mimi ningefanza kama ifuatavo:

  Laptop hard drive - Two partitions
  Windows XP Pro au Home Edtn- 40GB (or half the size of your HDD) kwa C drive.

  Mac OS - 40GB (or half the size of your HDD) kwa D drive

  Halafu u-adjust the size according to the amount of media and documents/files you currently have or will have.
  • Music
  • Videos
  • Data

  Hizi unaweza kuziweka katika Drive C: ambayo ndio itakuwa master Boot.

  Kwenye Drive D: unaweza ukajaza games na kadhalika ili kuifanza Laptop yako angalau iwe na nguvu ya ku-run kikawaida.

  Lakini pia itabidi uongeze Ram Memory iwe kama 1GB au kabisa ili iwe na speed zaidi.

  Nafikiri hizi partition mbili zinatosha ingawa zinaionea mno laptop yako na zitapunguza performance yake kama utakavo.

  Haya mkuu jaribu.
   
 7. Kilongwe

  Kilongwe JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2008
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 424
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mzee kwanza napenda kukuondolea Uoga kwa kuwa Computer huwa haiharibiki,haifuti kitu wala kufa unless uanze kucheza na hardware so you are ready to go on.La muhimu tu ni kuwa fanya hiyo redistribution kwa uhakika sio try and error ili kukuondolea usumbufu ambao unaweza kuupata endapo utafuta hizo partition za HDD yako so nakushauri uzingatie yafuatayo
  1.Kwanza kabisa kabla ya kufanya lolote unatakiwa ufanye Disk Defragementation kwani kwa kawaida ni kuwa kwa data(Files) kubwa huwa zina tabia ya kujisambaza kwenye vusubforders ambavyo wewe huwezi kuviona(Hidden and system Files,Video,Compresed files...)SYSTEM FILE SIO KWENYE C TU so nimekushauri hii ni kama Kinga ili kama utagawa hiyo HDD yako kimakosa na ukataka kurecover data zako zote utakuwa na uwezo wa kuzirecover na kuzitumia tena kama kawaida bila ya kuwa na ufundi mkubwa kwani HDD which is being Partitioned is different from the one which has been repartitioned from the point of Data sensitivity(Hayo ni mambo ya Computer forensic).
  2.Makesure unaangalia RAM yako ina ukubwa gani kwani kwa principle ya Computer endapo program unazorun memory zinazohitaji ni zaidi ya RAM Computer huwa inakopa toka kwenye first cylinders so usije ukainyima hiyo C Driver yako space halafu then ukajikuta unaifanya Computer yako iwe slow mno...Ila hii kwa hiyo 30GB ni tosha kabisa provided hutojaza mivitu..
  So in my conclusion ni kuwa You can Go on,cheza na computer yako hata kama ni kuformat kila Cylinders we endelea mkuu.La muhimu kumbuka kuwa Computer huwa haifuti kitu Ndio maana unashauriwa usiwe unapenda kuformat computer yako kila mara kwani unajaza HDD
  Welcome to the Cyber Home....uaminifu 1100100%
  kwa yeyote mwenye matatizo na vijimambo hivi tuwasiliane kwenye email yangu 629489676@qq.com(hii ni mail addres kama yahoo,hotmail..)
   
Loading...