Disk Clean Up:Compressed old files

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,603
68,514
Umofia kwenu Guruz wa Computer!!
Nina HDD yangu ya 160GB sasa leo nikafanya disk clean up sasa kuna 56GB ya compressed old files sasa je nikizi clean up ili nipate hizo space je kuna baadhi mafiles ya nyimbo/softwares/movies/videos zitakuwa zimefutika?
 
ok,maelezo yako ni magumu kidogo kuyaelewa, unaweza ukafafanua zaidi,ni nini unataka kufanya.
 
ok,maelezo yako ni magumu kidogo kuyaelewa, unaweza ukafafanua zaidi,ni nini unataka kufanya.

Uki-right click HDD ukaenda properties italeta tab flan kwenye tab ukiclick clean up italeta tab nyingine ambayo itaonyesha unnecessary files ambazo za kufutwa moja ya hizo file ni compressed files(zimekuwa compressed kusave hdd space ambazo azijakuwa accessed kwa siku 50).
 
disk clean up itaaffect old compressed files,log files,deleted,downloaded items,na mafile ambayo hujayaaccess kwa muda mrefu. Na ndio yatakuwa considered unecessary.u can do it,.
 
Back
Top Bottom