Andika upya elezea uko level gani kielimu... Uko interested na vitu gani na ulishawah kufanya vitu gani before...
Elezea unaenda somea degree diploma au veta..;?
Toa maelezo yanayotosheleza watu wakupe ushauri
nimemaliza vi nina point 10 matokeo nimesoma EGM combination napenda IT au computer science ila cjajua kama nina vigezo na kama sina naombeni.ushuri ni kitu gani nisome chuo kitakachonipa manufaa matokeo yangu
ni Economics=C,Geography=D,Mathematics=C