Discussion forum ya Daily News

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,011
Waungwana,

Mwanakijiji alianzisha discussion kuhusiana na uwezekano wa wamiliki wa Kiwira Coal Mining, Mkapa na Yona, kunyang'anywa KCM kwa vile wameipata katika mazingira ya kutatanisha. Hiyo topic sioni huko kwenye forum hiyo, je, imeondolewa?

Kama imeondolewa basi maisha ya forum hiyo ni mafupi maana hakuna uhuru wa kweli wa majadiliano kama uliopo hapa JF.
 
Wasiwasi wangu ni kuwa "Wanataka Habari za upande mmoja tu, aidha kusifia Waliomo Madarakani au kuponda vyama visivyo madarakani" Kufuta discussion ambayo ni burning issue miongoni mwa WATz wengi ni kutouona ukweli. Ni suala la muda du kabla forums hiyo haijachuja kama yalivyo magazeti ya Daily News and Sunday News.
 
Waungwana,

Mwanakijiji alianzisha discussion kuhusiana na uwezekano wa wamiliki wa Kiwira Coal Mining, Mkapa na Yona, kunyang'anywa KCM kwa vile wameipata katika mazingira ya kutatanisha. Hiyo topic sioni huko kwenye forum hiyo, je, imeondolewa?

Kama imeondolewa basi maisha ya forum hiyo ni mafupi maana hakuna uhuru wa kweli wa majadiliano kama uliopo hapa JF.

Si kweli kuwa imeondolewa, nimetoka huko sasa hivi bado hipo, sema wachangiaji ndio hakuna.
 
Back
Top Bottom