Discussion anaye fanya professional stage one mitihani ya bodi ya wagavi-psptb(nbmm) -arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Discussion anaye fanya professional stage one mitihani ya bodi ya wagavi-psptb(nbmm) -arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Maganga Mkweli, May 9, 2012.

 1. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Wakuu habari ,
  nauliza kama kuna mtu yeyote anafanya hii mitihani ya psptb bodi ya wagavi p -1 (professional stage one) kituo cha iaa -arusha...inayoanza wiki ijayo
  kama yupo anaweza ni pm ...
  Dhumuni ni tusaidiane kufanya final touch (zima moto) discussion ..
  Regards
   
 2. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Hiviiii kuna umuhimu gani wa kufanya hii mitihani ya psptb ? Je mtu asipo ifanya hata pata ajira?
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2013
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  wengine tunafanya hiyo mitihani ili tujiajiri...
   
Loading...