Mkuu shukuruni kwa huduma hii, but nachelea kusema Apple sasa hivi wanauza unlocked iphone 4s and nasikia hivi karibuni wataanza pia kwa iphone 5. Ofcourse nilitaka kununu locked i5 lakini sikujua nitaunloc vipi? ila nasubiria unlocked i5 itakayouzwa na Apple wenyewe ili ninunue. Nikipata mtu mwenye tatizo hili nitamuguide kwako- keep it!
Mkuu nina iphone 4 iko locked. Wewe unapatikana wapi?