Disclaimer and Rules of JamiiForums: Naomba itafsiliwe na members wote wawe wanaiona uki-log in | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Disclaimer and Rules of JamiiForums: Naomba itafsiliwe na members wote wawe wanaiona uki-log in

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Sanda Matuta, Jun 6, 2011.

 1. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  DISCLAIMER AND RULES OF JAMIIFORUMS
  JAMIIFORUMS (JamiiForums.com) as the biggest online Tanzania community is a free, but responsible forum.
  The following disclaimer and rules govern the discussion forums presented on JAMIIFORUMS site. Please read carefully before registering and participating.
  By accessing this site or register an account will constitute your agreement to comply with these rules:
  1. Site members and visitors shall remain solely responsible for the content of your messages, and you agree to indemnify and hold harmless this forum and their agents, including but not limited to its owners, operators, administrators and moderators with respect to any claim based upon any post you may submit. JAMIIFORUMS reserves the right to reveal any information we have about you in the event of a complaint and legal action arising from any message that you may post. Please also note that all IP addresses are recorded when items are posted.
  2. JAMIIFORUMS shall not be liable for any statement, misstatement, inaccuracy or omission of any type for any content submitted by a site member or visitor on any forum. JAMIIFORUMS bears no responsibility for accuracy of comments of any participants and will bear no legal liability for discussion results.
  3. If you participate in any forum on the site, you warrant that you will not:
   • Defame, abuse, harass or threaten others
   • Make any bigoted, hateful, or racially offensive statements
   • Advocate illegal activity or discuss illegal activities with the intent to commit them
   • Post or distribute any material that infringes and/or violates any right of a third party or any law
   • Post or distribute any unethical, pornographic, vulgar, obscene, discourteous, or indecent language or images
  4. You are responsible for ensuring that any material you post on JAMIIFORUMS (text, images, or other multimedia content) does not violate or infringe upon the copyright, patent, trademark or any other personal or proprietary rights of any third party, and is posted with the permission of the owner of such rights.
  5. The contents of messages will not be changed or altered by the JAMIIFORUMS in any way. However, JAMIIFORUMS reserves the right to delete any messages it believes are unsuitable in content. If you find any posts objectionable or offensive, please contact the forum administrator.
  6. JAMIIFORUMS does monitor the messages on the forum on regular basis but if something seems not well evaluated please contact us. Those who wish to contact the JAMIIFORUMS should use this email: support@jamiiforums.com.
  Failure to comply with these rules may result in revocation of JAMIIFORUMS privileges and may also lead to further action taken against the offender. Anyone who violates these rules may have their access privileges removed without warning.
  These rules may be modified from time to time by the JAMIIFORUMS without prior notice.
   
 2. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,704
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Unataka kusema watu hawaoni?
   
 3. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  labda anataka kukumbusha members
   
 4. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Nimejaribu kutafsiri, wengine waendelee kuboresha:

  [FONT=&quot]MASHARTI NA TARATIBU ZA JAMIIFORUMS[/FONT]

  JAMIIFORUMS (JamiiForums.com) as the biggest online Tanzania community is a free, but responsible forum.
  The following disclaimer and rules govern the discussion forums presented on JAMIIFORUMS site. Please read carefully before registering and participating.
  By accessing this site or register an account will constitute your agreement to comply with these rules:

  JAMIIFORUMS (JamiiForums.com) ni tovuti ya kijamii iliyo huru, lakini yenye kuwajibika. Masharti na taratibu zifuatazo zitaongoza mijadala itolewayo kwenye JamiiForums. Tafadhari soma kwa makini kabla hujajiandikisha na kuanza kushiriki. Kwa kuingia katika tovuti hii au kujisajiri itakuwa ni kukubali kutekeleza yafuatayo:

  1. Site members and visitors shall remain solely responsible for the content of your messages, and you agree to indemnify and hold harmless this forum and their agents, including but not limited to its owners, operators, administrators and moderators with respect to any claim based upon any post you may submit. JAMIIFORUMS reserves the right to reveal any information we have about you in the event of a complaint and legal action arising from any message that you may post. Please also note that all IP addresses are recorded when items are posted.
  Wanachama na wageni watawajibika kutokana na maudhui ya ujumbe wao, na unakubali kutoihusisha au kulinda tovuti hii na mawakala wake, unaowajumuisha kwa uchache wamiliki wake, waendeshaji, waangalizi na waratibu dhidi ya madai yatokanayo na ujumbe unaowekwa humu. JAMIIFORUMS inayo haki ya kutoa taarifa yoyote tulionayo kuhusu wewe ikitokea malalamiko na hatua zozote za kisheria zitakazotokana na ujumbe wowote utakaouweka humu. Pia tambua kwamba anwani zote za nukulishi (Computer) zinanukuliwa pale unapotuma ujumbe.

  2. JAMIIFORUMS shall not be liable for any statement, misstatement, inaccuracy or omission of any type for any content submitted by a site member or visitor on any forum. JAMIIFORUMS bears no responsibility for accuracy of comments of any participants and will bear no legal liability for discussion results.

  JAMIIFORUMS kamwe haitahusika kwa taarifa yoyote, taarifa iliyonukuliwa isivyo, taarifa isiyokuwa sahihi au makosa ya kutokuwemo taarifa yoyote stahiki kwenye ujumbe unaoletwa na mwanachama au mgeni kwenye mjadala wowote. JAMIIFORUMS haiwajibiki kwa usahihi wa maoni ya mshiriki yeyote na haitawajibika kisheria kwa yatokanayo na mijadala.

  3.
  If you participate in any forum on the site, you warrant that you will not:

  1. Defame, abuse, harass or threaten others
  2. Make any bigoted, hateful, or racially offensive statements
  3. Advocate illegal activity or discuss illegal activities with the intent to commit them
  4. Post or distribute any material that infringes and/or violates any right of a third party or any law
  5. Post or distribute any unethical, pornographic, vulgar, obscene, discourteous, or indecent language or images
  Iwapo unashiriki kwenye mjadala wowote kwenye wavuti huu, unakubali kwamba hauta:
  o Dhalilisha, tukana, nyanyasa au kutishia wengine
  o Toa taarifa zenye upendeleo, za chuki, au zenye mwelekeo wa ubaguzi wa rangi, jinsia, kabila au dini
  o Shabikia shughuli zilizoharamishwa au kujadili mambo haramu ukiwa na mwelekeo wa kuyatekeleza kwa vitendo
  o Tuma au kusambaza mambo yenye kuingilia au kuvunja haki za watu wengine au sheria yoyote ya nchi
  o Tuma au kusambaza mambo yasiyo na maadili, picha za ngono, picha za kutisha, picha za uchi, mambo yasiyo na heshima au lugha zisizokuwa na staha.

  4. You are responsible for ensuring that any material you post on JAMIIFORUMS (text, images, or other multimedia content) does not violate or infringe upon the copyright, patent, trademark or any other personal or proprietary rights of any third party, and is posted with the permission of the owner of such rights.

  Unawajibika kuhakikisha kwamba jambo lolote unalotuma JAMIIFORUMS (kwa mfano; maandishi, picha au mkusanyiko wa habari vielelezo) hazivunji wala kuingilia hakimiliki, hakibunifu, haki za alama za kibiashara au binafsi au haki nyingine muhimu za walengwa wengine, na kwamba utahakikisha unapata ruhusa yao kabla ya kuzitumia.

  5. The contents of messages will not be changed or altered by the JAMIIFORUMS in any way. However, JAMIIFORUMS reserves the right to delete any messages it believes are unsuitable in content. If you find any posts objectionable or offensive, please contact the forum administrator.

  Maudhui ya ujumbe hayatabadilishwa wala kufanyiwa marekebisho na JAMIIFORUMS kwa namna yoyote iwayo. Hata hivyo, JAMIIFORUS inayo haki ya kufuta ujumbe wowote itakaoona maudhui yake hayakubaliki. Ukiona ujumbe ambao una mashaka nao, au usiofaa, tafadhali wasiliana na waangalizi wa mjadala.

  6. JAMIIFORUMS does monitor the messages on the forum on regular basis but if something seems not well evaluated please contact us. Those who wish to contact the JAMIIFORUMS should use this email: support@jamiiforums.com.

  JAMIIFORUMS inaratibu mijadala mara kwa mara, lakini ikiwa lipo jambo ambalo halikutathminiwa ipasavyo wasiliana nasi. Wale wanaopenda kuwasiliana na JAMIIFORUMS watumie barua pepe hii: support@jamiiforums.com.

  Kushindwa kwa namna yoyote ile kutekeleza masharti haya kutasababisha kufungiwa kupata haki za JAMIIFORUMS, na itapelekea hatua zaidi dhidi ya wakosaji. Yeyote atakayekiuka taratibu hizi atasababisha fursa zake katika JAMIIFORUMS kuondolewa bila ya taarifa ya kusudio.
   
 5. Sanda Matuta

  Sanda Matuta JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 950
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hapo sasa afadhali maana jahazi lilikua linaenda mlama,JF is a place where we dare to talk openly but if you have facts to back up your words sio ulete maneno ya mtaani.kuna watu na heshima zao hapa ingawa kuna uhuru wa kusema chochote.
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni vyema na haki kukumbushana. Watu wengine wanaandika matusi humu ndani badala ya hoja. Kwa hiyo ni vema wajue kwamba they are responsible for their posts. Nadhani iwekeni kwenye jukwaa la siasa ambalo naona linapitiwa na watu wengi ili wakumbuke na kurudi kwenye mstari ili tuwe na hoja za kujenga bila matusi.
   
Loading...