Disasters every 26th (What a date!)

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,295
33,079
JAMANI KWANINI INAKUWA HIVI KILA SIKU TAREHE 26
Why always on " 26 th " ?

Take a look at this list :

1 Gujarat, India, earthquake 26 Jan 2001

2 The Rhodes earthquake 26 June 1926

3 Taiwan earthquake 26 April 2010

4 Japan earthquake 26 Feb 2010

5 N E Japan earthquake 26 May 2003

6 N E Japan earthquake 26 July 2003

7 North America earthquake 26 Jan 1700

8 Yugoslav earthquake 26 July 1963

Just got the following from Indonesia and

are translated:

9 Aceh Tsunami 26 Dec 2004

10 Jogjakarta earthquake 26 May 2006

11 Tasik earthquake 26 June 2010

12 Mentawai Tsunami 26 Oct 2010

13 Merapi volcanic eruption 26 Oct 2010

OTHER HISTORICAL Disasters :

14 Krakatau volcanic eruption 26 Aug 1883 (36,000 dead)

15 China earthquake 26 July 1976 (255,000 dead)

16 Portugal earthquake 26 Jan 1951 (30,000 dead)

17 Kansu, China, earthquake 26 Dec 1932 (70,000 dead)

18 Turkey earthquake 26 Dec 1939 (41,000 dead)

19 Sabah Tidal waves 26 Dec 1996 (1,000 dead)

20 Bam, Iran, earthquake 26 Dec 2003 (60,000 dead)

21 26 / 11 Mumbai Massacre
 
Mkuu MziziMkavu, waweza kuziweka katika utaratibu wa kuongezeka muda na plot graph ili tuone kama kuna cycle fulani hivi?
 
2+6=8
i hate namba 8
........hakika tumeweka wazi uumbaji kwa hesabu.........
so ukitaka kujua siri za dunia ni through mathematics, lamli yoyote ikikosa hesabu ujue ina mashaka
kwa mfano kujua nanai atashinda uchaguzi au mpira, kujua ubora wandoa,kujua lini usafiri,kujua nani ufanye nae biashara nk
 
JAMANI KWANINI INAKUWA HIVI KILA SIKU TAREHE 26
Why always on " 26 th " ?


Take a look at this list :

1 Gujarat, India, earthquake 26 Jan 2001

2 The Rhodes earthquake 26 June 1926

3 Taiwan earthquake 26 April 2010

4 Japan earthquake 26 Feb 2010

5 N E Japan earthquake 26 May 2003

6 N E Japan earthquake 26 July 2003

7 North America earthquake 26 Jan 1700

8 Yugoslav earthquake 26 July 1963

Just got the following from Indonesia and

are translated:

9 Aceh Tsunami 26 Dec 2004

10 Jogjakarta earthquake 26 May 2006

11 Tasik earthquake 26 June 2010

12 Mentawai Tsunami 26 Oct 2010

13 Merapi volcanic eruption 26 Oct 2010

OTHER HISTORICAL Disasters :

14 Krakatau volcanic eruption 26 Aug 1883 (36,000 dead)

15 China earthquake 26 July 1976 (255,000 dead)

16 Portugal earthquake 26 Jan 1951 (30,000 dead)

17 Kansu, China, earthquake 26 Dec 1932 (70,000 dead)

18 Turkey earthquake 26 Dec 1939 (41,000 dead)

19 Sabah Tidal waves 26 Dec 1996 (1,000 dead)

20 Bam, Iran, earthquake 26 Dec 2003 (60,000 dead)

21 26 / 11 Mumbai Massacre

22. Union of Tanganyika and ZIMBABWE 26 April 19664 (45m to die soon)

http://www.youtube.com/watch?v=e3BNegmIUKM
 
Hakuna chochote, hapa umecheza tu na selection. Ni umechukua tu matukio yaliyotokea tarehe hiyo ukayapanga maana kuna yaliyotokea tarehe tofauti lakini ukayaskip. Ungeenda mbali kutuambia kuna matetemeko mangapi kwa ujumla na mangapi yametokea tarehe hiyo. Kuna jumla ya volcanic eruption ngapi na ngapi ni za tarehe 26. Hapo tungeweza kuweka ulakini wa tarehe hiyo. Unless otherwise, mwingine anaweza kutafta series ya matukio ya tarehe nyingine na kuuliza vivyo hivyo.
 
26=1313 au 13+13,namba 13 ni rebellion number kwa mujibu wa saturnism
'
Yapo mambo mengi sana yametoke kwa kupangwa,cha kushangaza zaidi hata idadi ya waliopoteza maisha ukikagua utaona kati ya namba hizi zimetokea;3,5,6,7,9 11 na 13
'
Tutaendelea kuchezeshwa ngoma tusiyoiju mpaka tutakapofunguka macho!
 
Back
Top Bottom