Dirisha la rufaa HELSB 2019/20 (Appeal window)

Dec 9, 2018
66
52
Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HELSB) inatarajia kufungua dirisha la rufaa kwa wanafunzi waliokosa mikopo pamoja na wale wanaohisi kupata asilimia kidogo kwenye awamu zilizopita.

Dirisha hilo linatarajiwa kufunguliwa kuanzia tarehe 13/11/2019 hadi tarehe 23/11/2019.

IMG-20191111-WA0005.jpeg
 
dirisha la rufani linachukua siku 10? nilidhani litakuwa ni siku 3 au 5 ili watakaokidhi vigezo wapewe mkopo wao mapema,,, kuweka siku 10 nikuruhusu wale wasio na mkopo kabsa waendelee kukaa makwao,,,
 
alafu mbona ukiwapigia cm bodi abali za rufaa taree hyo wanakataa wanadai bach bado kwanza ndo nini asa hyo wandugu
 
eheeee tena wanakuhuliza vzur hyo habar umeipata wapiiiiiiiiiiiiiii wao awajasema wanachojua wao bach bado ila zinatoka lini na linihyo ndo siri kubwa naic wameamviwa wasiseme vibarua vitaota nyasi
 
Wanazingua mkurugenzi wao ndo alitangaza ile ijumaa kwenye vyombo vya habari
Screenshot_2019-11-12-15-42-02-977_com.android.browser.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_2019-11-12-10-37-25-905_com.android.browser.jpg
    Screenshot_2019-11-12-10-37-25-905_com.android.browser.jpg
    41.8 KB · Views: 2
eheeee tena wanakuhuliza vzur hyo habar umeipata wapiiiiiiiiiiiiiii wao awajasema wanachojua wao bach bado ila zinatoka lini na linihyo ndo siri kubwa naic wameamviwa wasiseme vibarua vitaota nyasi
umepiga simu board branch ya wapi? kwenye page yao ya instagram wamesema appeal window itafunguliwa trh 13 mpaka 23 november
 
hawo watu wa simu kuna muda wanazingua hawako updated na taarifa zao kabisaa
 
Inamaana wanataka kiki au? Sielewi kwan kulikuwa na shida gani kuwapa io mikopo mpaka wakate rufaaa
 
Ngoja kwanza wanaposema kunakua na batch mpaka kumi na moja huwa wanamaanisha nini

Kuna dogo kanitafuta ananiuliza
 
Wanataka Registration number ya chuo ulichochaguliwa, kwa lugha rahisi maana yake lazima uwe umelipa nusu ada chuoni na direct cost,upate university registration number. Ili ufanye appeal. Bado hii appeal ni kaa la mawe kwa baadhi ya vijana
 
Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu (HELSB) inatarajia kufungua dirisha la rufaa kwa wanafunzi waliokosa mikopo pamoja na wale wanaohisi kupata asilimia kidogo kwenye awamu zilizopita.

Dirisha hilo linatarajiwa kufunguliwa kuanzia tarehe 13/11/2019 hadi tarehe 23/11/2019.

View attachment 1260482
Wanataka Registration number ya chuo ulichochaguliwa, kwa lugha rahisi maana yake lazima uwe umelipa nusu ada chuoni na direct cost,upate university registration number. Ili ufanye appeal. Bado hii appeal ni kaa la mawe kwa baadhi ya vijana
Alafu hii sehemu ya appeal reason kama ya kwako haiko kwenye zile walizo zieka wao unasubmit tu au
 
Wanataka Registration number ya chuo ulichochaguliwa, kwa lugha rahisi maana yake lazima uwe umelipa nusu ada chuoni na direct cost,upate university registration number. Ili ufanye appeal. Bado hii appeal ni kaa la mawe kwa baadhi ya vijana
Sehemu gan iyo wanayotaka reg number mbona mm sijaiyona ?
 
Kwenye admission details
Mkuu hadi hapa nimesha give up kabisa.Mwaka Jana nilikosa mkopo nikaahirisha hadi this year but na mwaka huu batch zote vilevile zimeniacha.Sijawasili chuoni hadi sasa na sina kingine cha kufanya zaidi ya kubaki nyumbani hadi mwakani nijaribu tena.Mustakabali wangu wa elimu hadi sasa siuelewi,nyumbani life ngumu ela hakuna,yaani kila kitu naona kinageuka dhidi yangu.Siko happy na haya maisha kabisa.
 
Usikate tamaa mkuu, jaribu tu submit bila kujaza registration number inakubali. Mungu anaweza akafanya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom