Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Kabisa mkuu na ndicho nilichoshauri hapo juu ni baada ya vijana kuwa na hamu na matokeo ya ajira hizi ambazo zitakua kua na maumivu makali kwa vijana wengi.
Labda kama siasa itatumika wawaajiri wote walioomba na kitu ambacho hakiwezekani.
Very impossible... Applicants ni wengi sana, hivo, kuna uwezekano mkubwa sana ukakuta ajira zimetoka, we haupo na hata rfk zako wa krb hawapo.
 
Nikwel kabsa aiseeh maana dah kama watu laki na ushee kwa ajira elfu 13 hakuna uwiano mzur! Tujiandae kisaikolojia
Competition ni kubwa mno, kwa hesabu ndogo tu, uwiano wa waombaji na wanaohitajika yaweza kuwa hata 1:15... Kila nafasi moja ya ajira inagombaniwa na watu 15... Najaribu kuwaza kwa sauti
 
Nikwel kabsa aiseeh maana dah hatar sana! Bas watoe hzo ajira wenyew kupata na apate
 
Ndivo ilivyo, mfano kwa tuliomaliza 2015 tumeshaomba km mara tatu kwa namna hiihii, yn mara zote unakosa na hkna hata rafk ako wala uliyemaliza nae unayesikia kapata ndivyo hali ilivyo hatuna jinsi nikupokea na kusonga mbele kikubwa uzima.
Very impossible... Applicants ni wengi sana, hivo, kuna uwezekano mkubwa sana ukakuta ajira zimetoka, we haupo na hata rfk zako wa krb hawapo.
 
Ndivo ilivyo, mfano kwa tuliomaliza 2015 tumeshaomba km mara tatu kwa namna hiihii, yn mara zote unakosa na hkna hata rafk ako wala uliyemaliza nae unayesikia kapata ndivyo hali ilivyo hatuna jinsi nikupokea na kusonga mbele kikubwa uzima.
Duuh!mkuu Mara tatu na bado unakosa...hakika inakatisha tamaa sana kwakweli....je sie tuonaoanza kuomba sasahivi itakuwaje?
 
Hyo mbona wengi tumefanya hvo m niliacha kozi ya afya miaka minne nkasoma ualimu mitatu ila mara zote tatu naomba nakosa
 
Back
Top Bottom