Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Attachments

  • Screenshot_20201017-173706.png
    Screenshot_20201017-173706.png
    31.3 KB · Views: 1
Ww nae huelewi,kuna post hapo nyuma umesema zinatoka 26 oct,hapa tena umebadilisha kulikoni kwani?
Ha ha ha ha, Mkuu wameshachagua sema kinachosubirishwa ni timing tu.

Hivo mkuu anaweza kuwa sahihi, maana wakiona kuna madhara kutoa wakati huu, basi itawalazimu kusubiri pilikapilika za uchaguzi ziishe.

Hakiwi kitu mpaka Yesu aridhie, kama ipo ipo tu, japo 'Connection' ni muhimu na huongeza 'pissibilities'

Siasa ni Maisha.
 
Unaweza kuwa sahihi lakn nilichokingundua kwenye hii thread kumejaa matapeli.
Unaweza kuwaita matapeli kwasababu hawataongea ukipendacho.

Ila kama kuna mtu atadiriki kutapeliwa kwa pesa/mapene katika suala hili LA Ajira, ambalo ni Pasua kichwa. Itabidi apimwe akili.
 
Shule za msingi + sekondari (O level & A level)+ vyuo vya kati = 13000 nchi nzima! Vijana wenzangu tuangalie ishu nyingne za kufanya kupata ajira hizi ni 1/1000 katika probability
 
Hapo kwenye vyuo vya kati umetoa wapi?
ajira hizi zinahusisha na vyuo vya kati mkuu kama veta ndio maana watu wa engineering wakapewa nafasi ya kuomba pia.
Lakini unaweza ukatoa hiyo ya vyuo vya kati. Je, walimu 13000 watakidhi mahitaji ya shule zetu?
Kumbuka kuna walimu kati ya 120000 mpaka 170000 ambao wameomba maombi ya ajira hizi(mtu wa mwisho niliyemfanyia maombi alikua ni wa 110932 kabla ya kuficha ile namba ya udahili.)
Matokeo ya ajira hizi yataumiza vijana wengi kuliko wataofarijika. Hivyo ni muhimu kwa vijana hawa kujiandaa kisaikolojia.
 
Tukubali tu hii sera ya Magufuli kutoajiri ni janga kwa taifa. Na sio kwamba hajaajiri kwasababu walimu/ madaktari wapo wakutosha kwenye shule/hospitali/vituo vya afya hapana kunaupungufu tena mkubwa sana.
Imagine kuna shule ina walimu watatu(3) hapo ni darasa la kwanza mpaka la saba( Madara saba + na darasa la awali yanakua nane. Hapo nime- assume madarasa hayana mikondo hao walimu watajigawa vipi?
Ndio maana watoto wa wanasiasa huwezi kuwakuta kwenye shule hizi
 
ajira hizi zinahusisha na vyuo vya kati mkuu kama veta ndio maana watu wa engineering wakapewa nafasi ya kuomba pia.
Lakini unaweza ukatoa hiyo ya vyuo vya kati. Je, walimu 13000 watakidhi mahitaji ya shule zetu?
Kumbuka kuna walimu kati ya 120000 mpaka 170000 ambao wameomba maombi ya ajira hizi(mtu wa mwisho niliyemfanyia maombi alikua ni wa 110932 kabla ya kuficha ile namba ya udahili.)
Matokeo ya ajira hizi yataumiza vijana wengi kuliko wataofarijika. Hivyo ni muhimu kwa vijana hawa kujiandaa kisaikolojia.
Well said... Nliwahi comment juu ya hii issue ya ajira, ni bora kusahau na kuashum kama hakuna kitu kitakachotokea. You were required to apply and you did so. Ko ni bora kuendelea kuhangaika kivingine, ikitokea kwa bahati ukawamo inakuwa huna ulichopoteza.
 
Kabisa mkuu na ndicho nilichoshauri hapo juu ni baada ya vijana kuwa na hamu na matokeo ya ajira hizi ambazo zitakua kua na maumivu makali kwa vijana wengi.
Labda kama siasa itatumika wawaajiri wote walioomba na kitu ambacho hakiwezekani.
 
Back
Top Bottom