Crownjunioral
Member
- May 8, 2016
- 47
- 16
Me nlisikia wa2 flan wakipga story, eti after uchaguzi ndo ajira zitatokaNaona tangu Jana kuna ubize flani hivi hatari, nahisi mzigo soon utatema.
Me nlisikia wa2 flan wakipga story, eti after uchaguzi ndo ajira zitatokaNaona tangu Jana kuna ubize flani hivi hatari, nahisi mzigo soon utatema.
Me nlisikia wa2 flan wakipga story, eti after uchaguzi ndo ajira zitatoka
Yeah, hata mwakani sawa, wakisema tuombe tena sawa...Yote heri tu
Kwahyo haivuki ndani ya hzo siku mkuu au na ww unakadiriaKuanzia kesho tarehe 19 Oktoba 2020 tega sikio....
NB:
In between 19, 20, 21 October
Post zitatoka wiki ya pili ya NovemberKuanzia kesho tarehe 19 Oktoba 2020 tega sikio....
NB:
In between 19, 20, 21 October
Ha ha ha ha, Mkuu wameshachagua sema kinachosubirishwa ni timing tu.Ww nae huelewi,kuna post hapo nyuma umesema zinatoka 26 oct,hapa tena umebadilisha kulikoni kwani?
Kila mtu atasema lake.Ha ha ha ha, Mkuu wameshachagua sema kinachosubirishwa ni timing tu.
Unaweza kuwaita matapeli kwasababu hawataongea ukipendacho.Unaweza kuwa sahihi lakn nilichokingundua kwenye hii thread kumejaa matapeli.
Amen hata wakitoa mwakani tu lakini msalimie#mahondaw
Dah!Post zitatoka wiki ya pili ya November
Hapo kwenye vyuo vya kati umetoa wapi?Shule za msingi + sekondari (O level & A level)+ vyuo vya kati = 13000 nchi nzima! Vijana wenzangu tuangalie ishu nyingne za kufanya kupata ajira hizi ni 1/1000 katika probability
ajira hizi zinahusisha na vyuo vya kati mkuu kama veta ndio maana watu wa engineering wakapewa nafasi ya kuomba pia.Hapo kwenye vyuo vya kati umetoa wapi?
Well said... Nliwahi comment juu ya hii issue ya ajira, ni bora kusahau na kuashum kama hakuna kitu kitakachotokea. You were required to apply and you did so. Ko ni bora kuendelea kuhangaika kivingine, ikitokea kwa bahati ukawamo inakuwa huna ulichopoteza.ajira hizi zinahusisha na vyuo vya kati mkuu kama veta ndio maana watu wa engineering wakapewa nafasi ya kuomba pia.
Lakini unaweza ukatoa hiyo ya vyuo vya kati. Je, walimu 13000 watakidhi mahitaji ya shule zetu?
Kumbuka kuna walimu kati ya 120000 mpaka 170000 ambao wameomba maombi ya ajira hizi(mtu wa mwisho niliyemfanyia maombi alikua ni wa 110932 kabla ya kuficha ile namba ya udahili.)
Matokeo ya ajira hizi yataumiza vijana wengi kuliko wataofarijika. Hivyo ni muhimu kwa vijana hawa kujiandaa kisaikolojia.
Kabisa mkuu na ndicho nilichoshauri hapo juu ni baada ya vijana kuwa na hamu na matokeo ya ajira hizi ambazo zitakua kua na maumivu makali kwa vijana wengi.Well said... Nliwahi comment juu ya hii issue ya ajira, ni bora kusahau na kuashum kama hakuna kitu kitakachotokea. You were required to apply and you did so. Ko ni bora kuendelea kuhangaika kivingine, ikitokea kwa bahati ukawamo inakuwa huna ulichopoteza.