Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Wakuu naomben msaada kwenye teaching subject naweza kuchanganya fani na physics?? Mm nimesoma diploma ya electrical engineering sasa kwenye teaching subject naweza chagua physics na electrical installation?? Maoni yenu wadau ili kutanua wigo wa selection??
 
MIMI NAONA SAWA TU
 
Hii mambo itafanyika mda c mrefu, maana alitamka mkulu mwenyewe...! Na wakichelewa atachukua hatua kali. Atauliza mnafanya nn hadi leo hamtaki kuwaajiri hao waalimu? So itakuwa chap kidogo. Nadhani by end of this month mambo yatakuwa tayari.
 
Back
Top Bottom