chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 972
- 1,969
th
thanks mkuuAndika hivi:S0000-0000/2003
thanks mkuuAndika hivi:S0000-0000/2003
mwisho wanakwambia congraduration for completed applyingHv unajuaje kama Application ni successful??
like this APPLICATION COMPLETED, CONGRATULATION!mwisho wanakwambia congraduration for completed applying
Ndiolike this APPLICATION COMPLETED, CONGRATULATION!
SawaNasikia kunawatu watapangiwa shule ambazo hawajazichagua.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kikubwa ni kupata ajira hayo mengine ni ya ziada!Nasikia kunawatu watapangiwa shule ambazo hawajazichagua.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hahahahah huyo kaua kabsa ko akipangiwa village hataki ko hata enda site hiyoKuna mwingine kaniambia hawezi kuish sehemu ambayo haina network na umeme....ndo maana kachagua shule za mjini tuu.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Utumishi wa umma unafanyakazi popote pale, unaweza pata first appointment mjini baadae ukahamishiwa mbwinde.Kuna mwingine kaniambia hawezi kuish sehemu ambayo haina network na umeme....ndo maana kachagua shule za mjini tuu.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Suala la kukosa umeme linaenda kuwa historia, vimebaki vijiji elfu 2 kufikiwa na umeme, kwa mujibu wa CCM ! Mitano mingine kwa Magufuri..Utumishi wa umma unafanyakazi popote pale, unaweza pata first appointment mjini baadae ukahamishiwa mbwinde.
Hapana.MNASAINI KWA MKONO?
NdioNasikia kunawatu watapangiwa shule ambazo hawajazichagua.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Sisi sio wajinga.Suala la kukosa umeme linaenda kuwa historia, vimebaki vijiji elfu 2 kufikiwa na umeme, kwa mujibu wa CCM ! Mitano mingine kwa Magufuri..
Mimi kwenye ku upload college certificate na transcript yaani imekua shida sana ku save. Haikubali wazee.kama kuna mtu naye inamletea unauthorized user kwenye log in msaada please