Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

Najiuliza kama ni kweli idadi ya nafasi zinazoonekana wakati unachoice mkoa/wilaya katika kila shule mbona hazifiki 13,000? Au hizo zingine watajazia wapi?
 
Back
Top Bottom