Dirisha la kuappeal mikopo limefunguliwa rasmi, dirisha litafungwa tarehe 19 Novemba

Suip

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,314
759
Yaelekea bodi imefungua dirisha hilo kimyakimya bila Tangazo lao katika website yao.

Kwa waliokosa mkopo ukiingia katika akaunti zenu pale chini wameweka sehemu ya kukata rufaa(Appeal now). Ila ukiingia inazungumzia rufaa ya mwaka jana 2016/2017.

Yaonekana kama hawakujiandaa labda watafanya marekebisho, pia labda tangazo lao litakuja na kutoa muda wa mwisho wa rufaa na idadi ya watakaopata kwani sasa ni dhahiri hakuna nafasi maalum kwa kuwa sasa hivi wanufaika ni zaidi ya 31,200 tofauti na kauli ya mwanzo kuwa wanufaika ni 30,000 tu.

Tusubiri kesho tar. 13/11 kama Waziri alivyosema watafungua dirisha la rufaa.
 
IMG_20171112_192807.jpg
Screenshot_20171112-193140.png
 
ngebo Duh pole ila neno la faraja ukimaliza vizuri na kufaulu ukipata ajira au kujiajiri hakuna anayekudai na unatembea kifua mbele kwa kuweza kujitegemea. Ila ni kweli waathirika wapo wengi ikiwa ni pamoja na wazazi walio maskini.
 
Jaman msaada nimeangalia hii batch ya NNE nimejikuta nimo kwenye majina ilaa sasa nikiingia kuangalia loan breakdown siwaelew yaani sijaona meal and accommodation wala tuition fees au bado wanapakiaa???? tumbo joto wakuu
 
Subiri tu kama jina lipo.
 
IMG-20171112-WA0007.jpg

Yaani huu ni uonevu kabisa ,yaani kuappeal ndani ya wiki tu? Daah Mungu weka mkono wako juu ya suala hili.
 
Mungu wasaidie ambao hawajapata najua machungu ya kukosa mkopo hasa kama sisi watoto wa wakulima hali ni ngumu ..
Mungu ibariki tz
 
Hapa kama kuna continous student aliyeomba mkopo mwaka huu kapata tuambiane maana naona continous sijui bodi haiwatambui kama wanafunzi wanaostahili kupewq mkopo?
 
Hakuna continuous student aliepata Mkopo Bodi ya Mikopo inaanza kuchambua taarifa zao kwanzia matokeo yao na kilA kitu wanaanza kuchambua kesho j3 so wait...
 
Hakuna continuous student aliepata Mkopo Bodi ya Mikopo inaanza kuchambua taarifa zao kwanzia matokeo yao na kilA kitu wanaanza kuchambua kesho j3 so wait...
Kuna Ukweli Kwenye Hili Turejeshe Tena Matumaini Mana Hali Si Hali
 
kwa bodi hii bunge lilipaswa kumfukuza waziri wa elimu kazi. haieleweki bodi inasimamia nini.kuna baadhi ya vyuo cozi za arts wamepata loan 97% ilihali syansi 0%.
 
Hakuna continuous student aliepata Mkopo Bodi ya Mikopo inaanza kuchambua taarifa zao kwanzia matokeo yao na kilA kitu wanaanza kuchambua kesho j3 so wait...
Mkuu you mean walioomba upya au ni continuous ambao teyari wana mikopo toka first year??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom