Directory ya Afya toka TanzMED

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Tuma,tafuta,thaminisha,jadili na pendekeza huduma za Afya
Ni mara ngapi umekuwa ukitafuta huduma za afya zilizo karibu nawe bila mafanikio? Timu nzima ya TanzMED inakuletea TanzMED Directory .Ukurasa pekee ndani ya TanzMED.com unaotoa nafasi kwa watoa huduma/bidhaa kujitangaza pia kwa wanajamii kutafuta huduma/bidhaa zenye uhusiano na afya kwa urahisi zaidi bila gharama yoyote.

Sio hayo tu, TanzMED Directory inawawezesha wanajamii kuithaminisha na kutuma maoni kwa kila huduma hivyo kutoa mwanga zaidi kwa watumiaji wapya.

viewfile
Kama wewe ni mtoa huduma/bidha au unafahamu huduma yoyote ambayo unaona inaweza kuwa na manufaa kwa wanajamii,basi itume moja kwa moja kwa kwenda HAPA . Kwa wanaotafuta huduma/bidhaa za afya nenda http://www.tanzmed.com halafu bofya Directory.



viewfile

Changia TanzMED kwa kusambaza ujumbe huu
 
Back
Top Bottom