Director wa zile movie maarufu za Matrix ajibadili jinsia..hii kali!!

dah kwa hiyo jamaa anatupiwa sasa.mwenyezi mungu atusaidie tujitambue na kuepuka mambo ya ufirauni kama haya.
 
1549496347063.png
1549496371261.png
 
Hawa wanafahamika kama the wachowskis... Na wako familia moja ndugu wawili wa kiume waliobadilisha jinsia zao kiwa wa kike... Ni maarufu sana huko holly wood... Wanaitwa lana and larry wachowski Mshana Jr
images (1).jpeg
 
Acheni agegedwe tuu. ndo kaamua hivyo.. ulimwengu umeshakufa kifo cha mende!.
Kilichobaki ni kushika imani na matendo yako yawe manyoofu mbele za MUNGU.
 
Back
Top Bottom