Director General NIMR | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Director General NIMR

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masanilo, Jun 25, 2009.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kama ilivyotabiriwa na wengi, baada ya Dr Kitua Andrew kustaafu ukurungenzi mkuu wa National Institute of Medical Research, NIMR Dr Mboera alikuwa akikaimu nafasi hiyo, lakini naona board ya NIMR imempendekeza Dr Mwele Lazaro Malecela, PhD kuchukua nafasi hiyo, Raisi anatarajiwa atapitisha jina hilo. Hongera sana dada Mwele unastahili hicho cheo, nakumbuka ulivyokuwa makini ukiwa mkurugenzi wa mafunzo na utafiti, umevuta miradi mingi wizarani na wewe ni raisi wa tafiti za magonjwa ya matende barani Africa. Hongera mama...

  Wale haters msiharibu hii thread fungueni yenu!

  Mig
   
 2. M

  Msharika JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Dr Mwele Hongera sana Kwa kuchaguliwa kuwa Mkurugenzi wa NIMR. Ulipokuwa kiongozi wa shughuli za Tafiti ulitufunda jambo sisi watafiti tunaochipukia. Hongera sana na Mungu akupe heri katika yote. Ukali wako uwe uleule.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks for info... I hope the President will approve the appointment!!
   
 4. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  am left somewhere!
   
 5. m

  madsick New Member

  #5
  Jun 25, 2009
  Joined: Dec 4, 2007
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Congrats to Mwele, tunatumaini ataifufua NIMR na kufanikisha yale ambayo mwenzake aliemtangulia hakuweza kuyafanikisha...
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Jamani, Mkuu hajapitisha, tunaanza kupongeza... likitupwa hilo jina itakuwaje?
   
 7. F

  Froida JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2009
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Tunamwombea heri Dr.Mwele ni mdada anayejitahidi sana kila la heri tunadhani rRaisi atapitisha pendekezo hilo
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  True that... we are good at counting the chicks wakati kuku bado anataga!!
   
 9. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  mhhh sawa kama atachaguliwa then nampa pongezi

  lakini zaidi mimi I am more interested to see how she looks like
  si haba Dododma si mbali na bara bara nzuri hivyo hakuna haja ya kupanda treni
   
 10. M

  Mtu B JF-Expert Member

  #10
  Jun 25, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 921
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hapa mnapoanza ku-preempt uteuzi wa rais ndio mnaharibu kabisa. Kuna watawala wengine waonapo uteuzi wao umeshaanza kushabikiwa huwa wanabadilisha. Subirini ateuliwe rasmi ndipo tuanze pongezi zetu.

  Kwa ufahamu wangu huyu mama anastahili nafasi hiyo, ni kichwa hasa.
   
 11. S

  Shangazi JF-Expert Member

  #11
  Jun 25, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  where?
   
 12. S

  Shangazi JF-Expert Member

  #12
  Jun 25, 2009
  Joined: Mar 24, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hongera sana daktari. Yaou deserve the post japokuwa waswahili hawakawii kuanza!!!!!
   
 13. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Jamani mtupe short cv yake kamili ili tumpende au tumponde, siyo mnaanza kutuziba ziba eti haters oh oh sijui mambo gani!! Embu nambieni kwa nini anafaa? Mbona watafiti tunao wengi hapa tz, whats special with her? Mi simjui kabisa!
   
 14. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Kwa wasiomfahamu . . .

  [​IMG]

  [​IMG]
   
Loading...