Direct Sales Executive Remuneration

Yap n permanent,,, na inavuka laki tano shida yupo kwenye taasisi ya fedha tena kama loan officer.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha bro kama inavuka laki 5 hii DSE aliomba ya nin?? Mshahara hauvuk laki 4 na bado makato hapo?? Na unadhan kuna tofaut na loan officer?? Kuzunguka kutafuta wateja na kuweza kumaintain account zao angalau kuwa na balance sio jambo dogo kuna jamaa niliongea nae unajikuta 2months zinakata huna mteja wa maana....
Pia what if mwaka umeisha na wakaterminate contract yake hata hiyo loan officer ataikumbuka aiseee...kazi mbaya ni ukiwa nayo daima

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom